Lembeli: Sirudi CCM Ng’o!

Yeye ndo mnafiki kuhama chama na mwenye uchuu wa madaraka isingekua CCM hata ubunge ingekua ndoto maisha ni mwake
 
Vema aishi kwa maneno yake haya itamlipa mwishowe
 
Wengine wanahama kwa sababu tu ya insecurity....
 
Kwa hiyo mbinu ya kupambana na mpinzani wako ni kumpiga pini kwanza kisha unaanza kufanya kampeni ya kushawishi wanachama wake kuhama....... Wazee wa punda afe, mzigo wa tajiri ufike wanatisha sana....
 
Safi sana Mzee Lembeli. Napenda watu wenye msimamo. Simamia kile unachoamini kwamba ni sahihi.....si kama wale akina supu maji matupu!
 
Huu Usemi wa ng`ombe waliyokatwa mikia naona unataka kupambana moto kama ule Usemi wa Ki.la.za
 

Aliona hatoshi akaamua kukimbilia Chadema nako hakutosha MAY BE anajua alichofanya So Nobody will TRUST AND ACCEPT HIM NEVER.
 
"Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize" james Lembeli (Mwana Maria) 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…