Wasira aliwahi kusema kuwa hakuna chma cha mafisadi ila kunamafisadi ndani ya vyama kama alivyo Lowasa kwa ccm na Mzee slaa kwa chadema yote haya ni mafisadi tena mpaka kwa wake za watu.
Nasikia alimwibia mpaka baba yakeSijui kama Lowasa hajawahi kuiba kwenye eneo alilowahi kuwa kiongozi mzee mwizi mpaka anajiogopa yeye mwenyewe.
Kweli mkuu halafu la kuvunda halina Lowasa alishavunda mkuu ndiyo basi tena.Nashangaa hayo makanisa na misikiti yanamshobokea. Najua wanachotaka ni fedha zake na si yeye mwenyewe. Wanatimiza usemi wa kiswahili usemao kuwa Baniani mbaya kiatu chake dawa
Si,iyu Yetu kasema kweli tupu. Usipanic mkuukwani walitembea na mke wako au mama yako au walitembea na wewe?
Sure mkuu ameanza kuiba akiwa mdogo sana ndiyo maana ilifika wakati anamali nyingi kuliko hata za nyerere ambaye alikuwa Rais wake kwa wakati huo sasa sijui itakuwaje kama kipindi hicho akiwa na mali nyingi kuliko nyerere.Nasikia alimwibia mpaka baba yake
Nakuunga mkono mkuu kwa hoja yako hii inatakiwa kuwa hivyo tunataka Rais msafi kabisa siyo aina ya hawa mafisadi.Lowasa apewe kazi ya kuwa Balozi wa Harambee, lakini kazi ya Urais apewe Mwana CCM msafi,Mzalendo na mwenye Afya njema.
Si,iyu Yetu kasema kweli tupu. Usipanic mkuu
Na huu ni ukweli ambao unapaswa kusemwa wazi wazi na kila mwana CCM na mzalendo bila ya kificho. Lowasa aendelee na harambee zake. Urais katu haumfaiLowasa apewe kazi ya kuwa Balozi wa Harambee, lakini kazi ya Urais apewe Mwana CCM msafi,Mzalendo na mwenye Afya njema.
Nakuhurumia jinsi unavyopanickama ni kweli si aseme kama walitembea na wewe au mke wako ?
Ukitaka kuthibitisha hilo nenda na mkeo pale halafu majibu utakuja nayo mwenyewe.kwani walitembea na mke wako au mama yako au walitembea na wewe?
Halafu kwanini suala hili huwa linakupanikisha sana wakati wewe ni mama mtu mzima sana kwani unahusika?kama ni kweli si aseme kama walitembea na wewe au mke wako ?
Ukitaka kuthibitisha hilo nenda na mkeo pale halafu majibu utakuja nayo mwenyewe.
Mimi nipo tofauti sana na wewe sijui kama anamuogopa ila anachoonesha ni ukweli juu ya uchafu wa mzee Lowasa.Lizabon mbona unamuogopa sana lowasa na unatumika kirahisi sana katika kumchafua mtu ambaye hata ukienda mahakamani na kufungua kesi dhidi yake uwezi shinda coz huna uthibitisho wowote wa ufisadi wake.
Ninahisi wewe ni mtu ambaye unamrija mpana sana wa kutafuna kirahisi fedha za wavuja jasho katika taifa hili.
Na unahisi huyu mweshimiwa akiingia madarakani hatakuharibia mirija yako coz inaonesha ni mvivu sana katika majukumu yako.
Na kwasababu umewekwa na mtu katika hiyo position ambaye ni mla jasho la wananchi kirahisi.
Ninahamini wote wanaomponga lowasa kuwa rahisi wa hii nchi ni mafisadi PAPA
Nitakuwa wa mwisho kuhesabiwa kuwa Team Lowasa
Hahahahahaaaaaaaaa! Hivi kuna fisadi papa nchi hii kushinda Lowasa? Taratibu mkuu. Usilete mzaha hapa. Infact simuogopi Lowasa. Ninamsema wazi wazi na ninamsema kwa mambo ya kweli. Hutaki achaLizabon mbona unamuogopa sana lowasa na unatumika kirahisi sana katika kumchafua mtu ambaye hata ukienda mahakamani na kufungua kesi dhidi yake uwezi shinda coz huna uthibitisho wowote wa ufisadi wake.
Ninahisi wewe ni mtu ambaye unamrija mpana sana wa kutafuna kirahisi fedha za wavuja jasho katika taifa hili.
Na unahisi huyu mweshimiwa akiingia madarakani hatakuharibia mirija yako coz inaonesha ni mvivu sana katika majukumu yako.
Na kwasababu umewekwa na mtu katika hiyo position ambaye ni mla jasho la wananchi kirahisi.
Ninahamini wote wanaomponga lowasa kuwa rahisi wa hii nchi ni mafisadi PAPA
Sijui kama Lowasa hajawahi kuiba kwenye eneo alilowahi kuwa kiongozi mzee mwizi mpaka anajiogopa yeye mwenyewe.