Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,846
- 43,326
WanaJF wasalaam!
Aliyekuwa Mbunge wa CCM kahama na kuhamia Chadema Bwana James Lembeli ameisifu sana kasi ya Magufuli ya kutumbua majipu na kumuasa aendelee na yuko tayari kumuonesha majipu mengine ambayo anayajua.. Pia amemsifu sana na kusema anafanya walio akiyasema na ana muunga mkono!
Kauli ya James Lembeli imetofautiana na ya Mbowe ambaye amekuwa akipinga utumbuaji majipu wakisema una kiuka haki za binadamu!
Wakati huo huo Mbunge wa Bukoba mjini Wilfredi Lwakatale amepinga tabia ya viongozi na wanachama wachadema kusema wameibiwa kura wakati hawajiandai na uchaguzi,amesema ni vyema viongozi na wanachadema wakajikita kujiandaa na uchaguzi ujao kuliko kujikita kulalamika wameibiwa kura!
Chanzo: ITV