Lembeli agonga mwamba kwa Kisandu

kigoma mjini

Member
Dec 1, 2013
95
0
Katika mkutano wa juzi wilayani kahama mh. lembeli alishindwa kabisa kuzungumzia yaliyojiri bungeni na kukazania kumsapoti Kisandu kwa hoja ya kukwepa majukumu yake na kuwakandamiza madiwani.

Kabla ya mkutano alisikilizishwa hotuba recorded ya Deo Kisandu alipokuwa anazindua kitabu wilayani hapo ambapo hotoba hiyo kisandu aliungwa mkono na wanakahama na kumdai asigombee urais bali aanze na ubunge kwanza.

Baada ya kuiisikiliza ndipo aliposhauriwa akomae na madowani tayari njia ni nyeupe la sivyo dogo akija atachukua jimbo.

Katika hatua ingine lembeli alimnadi mti mmoja kuwa atagombea ubunge jimbo la ushetu kwa CCm hali hiyo iliwauzi wanancho.

Hata hivyo Kisandu ameshasema hataki ubunge.
 
Margwe

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
255
170
katika mkutano wa juzi wilayani kahama mh. lembeli alishindwa kabisa kuzungumzia yaliyojiri bungeni na kukazania kumsapoti Kisandu kwa hoja ya kukwepa majukumu yake na kuwakandamiza madiwani. kabla ya mkutano alisikilizishwa hotuba recorded ya Deo Kisandu alipokuwa anazindua kitabu wilayani hapo ambapo hotoba hiyo kisandu aliungwa mkono na wanakahama na kumdai asigombee urais bali aanze na ubunge kwanza. baada ya kuiisikiliza ndipo aliposhauriwa akomae na madowani tayari njia ni nyeupe la sivyo dogo akija atachukua jimbo.
katika hatua ingine lembeli alimnadi mti mmoja kuwa atagombea ubunge jimbo la ushetu kwa ccm
hali hiyo iliwauzi wanancho.
hata hivyo Kisandu ameshasema hataki ubunge.

Who are they?:attention::attention:
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,728
2,000

Join Date : 1st December 2013
Posts : 16
Rep Power : 307
Likes Received2
Likes Given0Una haki ya kuandika hivi KARIBU SANA
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,110
2,000
Poor Tanzania. even those who can not manage themselves want to govern you.
 
Alfred Daud Pigangoma

Verified Member
Mar 30, 2009
1,793
2,000
katika mkutano wa juzi wilayani kahama mh. lembeli alishindwa kabisa kuzungumzia yaliyojiri bungeni na kukazania kumsapoti Kisandu kwa hoja ya kukwepa majukumu yake na kuwakandamiza madiwani. kabla ya mkutano alisikilizishwa hotuba recorded ya Deo Kisandu alipokuwa anazindua kitabu wilayani hapo ambapo hotoba hiyo kisandu aliungwa mkono na wanakahama na kumdai asigombee urais bali aanze na ubunge kwanza. baada ya kuiisikiliza ndipo aliposhauriwa akomae na madowani tayari njia ni nyeupe la sivyo dogo akija atachukua jimbo.
katika hatua ingine lembeli alimnadi mti mmoja kuwa atagombea ubunge jimbo la ushetu kwa ccm
hali hiyo iliwauzi wanancho.
hata hivyo Kisandu ameshasema hataki ubunge.

Sijajua bado, hivi ni macho yangu au aina ya simu ninayotumia ndio inaonesha maandishi yalivyo? Wadau nisaidien.
 
celincolyn

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
243
0
Sijajua bado, hivi ni macho yangu au aina ya simu ninayotumia ndio inaonesha maandishi yalivyo? Wadau nisaidien.
Hajaeleweka eeh! Ndo maana mm huwa nawbishia sana watu wanasema Kenya hakuna elimu bali kingereza tu! Hv kama watu wanaweza kuandika hv kiswahili wasieleke na ukute kamaliza form four ya Tanzania je, ukimwambia ajieleze kwa maneno 100 ya kingereza pamoja na kuwa si lugha yetu jamani c ndiyo tutaona yale maajabu ya Firauni mchana kweupe?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hiyo jumuiya ya Afrika Mashariki tunayo ililia c ndo Watanzania tutakuwa wafagizi kwa wenzentu? Aibu yetu na elimu ya akina Mlugo sijui na Dr.Kawambwa asiye jua hata alisomea nn ili afananye nn.
Jamani mimi napita tu nahurumia kucha na meno yangu.
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,532
2,000
yaaani kuna vitu ni kazi sana kuelewa humu JF mi ndo maana bila kumeza panadol siingi humu kwa kweli ...sasa huyu sijui alikuwa anataka kusema nini maaana mimi sijaelwa hata kidogo
 
Blac kid

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
5,554
2,000
yaaani kuna vitu ni kazi sana kuelewa humu JF mi ndo maana bila kumeza panadol siingi humu kwa kweli ...sasa huyu sijui alikuwa anataka kusema nini maaana mimi sijaelwa hata kidogo

Mkuu mie nilichoelewa ni kwamba kisandu kapotezea urais asaiv anakomaa na ubunge, na kaonyesha kwa njia ya mzunguko mkubwa sana kwamba anakubalika ktk jimbo la kahama kuliko lembeli mbunge wa sasa!!
 
Matango

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
515
225
Kumbuka unaongea na dunia kwenye mtandao. Unaleta hoja kama mazungumzo ulifanya palepale kwenye mkutano!!! Kumbuka unawaeleza ambao hawaijui hata kahama!!
 
Jagarld

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
2,024
2,000
sisi hapa kigoma tunajua wewe mbunge humtaki kisandu kwenye chama chenu na umeshaanza kumuundia zengwe. tunajua anakuzidi kipaji bro.

hujaeleweka kabisaaa. Kama inawezekana andika kwa lugha yako ya kwanza hatuwezi kukosa mtu wa kuitafasli ndg.
 
usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,532
2,000
Kama vile kila mtu anamjua huyo kisanduku
Katika mkutano wa juzi wilayani kahama mh. lembeli alishindwa kabisa kuzungumzia yaliyojiri bungeni na kukazania kumsapoti Kisandu kwa hoja ya kukwepa majukumu yake na kuwakandamiza madiwani.

Kabla ya mkutano alisikilizishwa hotuba recorded ya Deo Kisandu alipokuwa anazindua kitabu wilayani hapo ambapo hotoba hiyo kisandu aliungwa mkono na wanakahama na kumdai asigombee urais bali aanze na ubunge kwanza.

Baada ya kuiisikiliza ndipo aliposhauriwa akomae na madowani tayari njia ni nyeupe la sivyo dogo akija atachukua jimbo.

Katika hatua ingine lembeli alimnadi mti mmoja kuwa atagombea ubunge jimbo la ushetu kwa CCm hali hiyo iliwauzi wanancho.

Hata hivyo Kisandu ameshasema hataki ubunge.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom