Lema yuko Sahihi Waislamu Wana Uwezo wa kuwatetea Wanasiasa wa Kiislam Lakini hawawezi kuwatetea Wanazuoni wa Kiislam!

Marekani ni christian Nations Kwa sababu unapozungumzia Western nations maana yake unazungumzia christian Nations kama US,UK ITALY,GERMAN,FRANCE,.Hizi zote ni civilized states,Kila mmoja wetu ana ndoto za kufika katika mataifa haya.Mfano mwingine,Vita vya Israel vs Hamas vimegeuka kuwa Vita vya kiimani(Kidini) western Nations based On Israel while Arabic nations based Parestine
Hakuna mataifa yaliyostaarabika kama nilivyotaja pale juu.Ujinga kama ulivyo kwenye mataifa ya kiarabu.Ujinga na maradhi Bado vonawaumiza sana kivvjwa.
 
Mnashabikia dini kama simba na yanga

Afrika ni bendera fuata upepo izo dini waachieni walokuja nazo ndo wajuvi zaidi nyie hapa mnatupigia kelele tu
Sasa wewe unaumia nini?
Mbona dini imeanza na Yesu Israel na sikuoni ukisema watu wa ulaya na Asia wanashabikia

Tumia akili Acha kuiga misimamo ya watu
 
Wewe uliona wapi Dini inasema ua wengine?
Dini gani watu wanaua wenzao ndio iendelee

Hiyo ni Cult sio dini ni umoja wa magaidi huo
 
Pamoja na mapungufu ya Godbless Lema Lakini angalizo kwa ndugu zake Waislamu limebeba Uzito wake

Utakuta Wanazuoni wa Kiislam walioko magerezani kwa kesi za ugaidi watetezi wao huwa ni Wakristo na wala siyo Waislamu wenzao hali inayopelekea wengine kufungwa na kunyongwa

Kwa maana nyingine Lema amesema si vema Mujahideen kuwa Chawa wa binadam bali muwe Chawa wa Allah

Hata machafuko ya Mwembechai aliyeyazima ni Mgalatia Augustine Mrema rip

Tumvumilie Lema kwa Unabii wake

Sabato njema 😄
Inasikitisha sana kusikia kauli za namna hii kutoka kwa kiongozi wa CHADEMA (Chama pekee cha upinzania tz kilichosimama imara)

Hata kama kauli ya Lema ni ya kweli, kitendo chochote cha mwanasiasa kuanza kujadili mambo ya Waisilamu ni sawa na kukihujumu chama chake. Hawa jamaa uelewa wao ni tofauti, wanaweza kujazana ujinga na kuanza kuichukia CHADEMAkwa ujinga wa mtu mmoja. tukumbuke pamoja na uchache wao kwenye maofisi ya umma, ila ni wengi mno mitaani na wanafanya idadi kumbwa ya wapiga na mara nyingi wamekua mtaji mkubwa wa CCM.
 
Back
Top Bottom