Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Alishathibitisha uwongo wa Pinda, itakuwa hili..??Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK
Anasisitiza; DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE NI WOGA!
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
- Better to remain silent and be though a fool than to speak out and remove all the doubts
- A wise man fights to win, but he is twice a fool who has no plan for possible defeat
Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Lema anawapa watu elimu ya udhubutu!
Safi kamanda Lema!
tungekuwa na kina lema 50 tu tanzania, wabambikizaji wa kesi wangepungua.....!Tune Sunrise Radio mliopo Arusha.
Mh anaongea, anawararua Polisi na RC, anatema hoja za nguvu, na anasimamia haki.
Anazungumzia uchaguzi wa kata ya Sombetini. Anasema kuwa uchaguzi wa Sombetini kwa nini hauitishwi? Anasema kama Uchaguzi wa Kata ya Sombetini haufanyiki, basi Mh Mawazo bado ni Diwani wa CCM kwa uwakilishi wa CHADEMA! Na kuwa hataenda Bungeni kwa ajili ya hilo, akienda Bungeni atakula sahani moja na Pinda (maneno yangu).
Anasisitiza; DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE NI WOGA!
Hii TISS ya akina Ulimboka? Hii TISS ya akina Kibanda?Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.
hv hao watu wapo nchi hii, twiga wanaibiwa pesa zinaibwa bado unataka msaada wa hawa watu??ndo mnakokimbilia mkiambiwa ukweli tiss upo wapi hata kaburu alikua nao yupo wapi watawachoka hata hao mnaowategemea. Muda si mrefu polisi nao watawakana make mnawadhalilisha kesi zinawashinda kwakuwa si za kweli. Walevi ni waliomkamata lema hawakufikiri kabla ya kutenda hatakama ni amri
ni kweli mkuu watu kama mwigulu, lusinde na hata rage maana nasikia wanapikia bangi kwenye mboga, halafu usalama wa taifa wanaangalia tu, sijui kwa nini hili taifa!Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?