Lema: Uhuru wa Habari/Demokrasia utakapozimwa ndipo tutakuwa tumefika hatua nzuri ya kudai uhuru kamili wa Taifa

Ninafikiri uhuru wa habari /demokrasia utapozimwa ndipo tutakuwa tumefika hatua nzuri ya kudai uhuru kamili wa Taifa letu . Don,t give up

View attachment 624648
Usijali ikizimwa utabaki na majivu.nafuu uzungumzie udhaifu wa serikali,lakini umetoka kutoka.mwanaharakati na sasa eti mgombea uhuru?hata mandela hajawa hivyo yeye aligombea uhuru pekee,hii mambo ya kusoma vitabu vya che guavara halafu unaiga kila kitu hadi unasahau maana ya kugombea uhuru,mavazi uige ,uhamasishaji uige na kudai uhuru uige pia? Come on,hii serikali ina mapungufu nyingi sana umekosa hata ya kusema bashite anaongoza nchi,lema please,nammiss sana Tundu lissu anaongeaga vitu vina ingia akilini,mungu amponeshe arudi.
 
Uhuru wa kupotosha makusanyo ya kodi?!?
Uhuru wa kupotosha ukuwaji wa uchumi?!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…