Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Status
Not open for further replies.
Majungu ya kitoto peleka fb
 
Kama serikali inavurugwa, harafu serikali inavuruga wananchi na maisha, je tutaendelea hivi hivi au wanaovurga serikali wakiwa CCM au ndani ya serikali itabidi wapishe
 

Huyo nae toka aliwe 0713...kabang hashuo hazimshuki.....
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa
wewe ni sawa na debe tupu haliachi kuvuma,, wenzio tunazungumzia mustakabali wa nchi kiuchumi wewe umekazania ngono tuu badilika!!
 
Lema ni kamanda wa ukweli ccm wanamwogopa sanaaa ccm kiama chenu 2015 serikali ya ccm imepinda kama waziri mkuu pinda mnasubiri mapinduzi au??
 
Waziri mkuu serious tutampataje??? changia mawazo sio kumjadili lema
 
huyu c ndiye mpigaji wa matairi manne!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kweli viongozi tumepata
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…