Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

ccm hakukupa likizo bwana lema! matusi yako dhidi ya dr batlida ndiyo yaliyo kupa likizo bungeni! unahitaji kutupu!

Weweeeeeee, hebu acha kushabikia hilo chaka la mijizi. unaibiwa lakini bado unaanza malango wazi
kwenye red lugha naona imeenda mrama.
 
Kulingana na khali ilivo hivi sasa japo hawasemi bt tayar wanajuta ni kwanini wamekutoa bungeni, ila wakat wao umefika na kauli yao yakusema upepo unavuma na utapita sasa hu upepo wa kipindi hiki haukatiki na haupiti unaepuliza tu nguzo za CCM mpaka zikatike na sasa zimebaki nguzo chache upepo CDM uweze kusambalatisha NDULI CCM.
 
CCM jaman jaribuni kuangalia hu sio upepo mliouzoea hu ni balaa kaen mkao wa kubwaga manyanga!!!!!!!!!!!!!!
 
CCM jaman jaribuni kuangalia hu sio upepo mliouzoea hu ni balaa kaen mkao wa kubwaga manyanga!!!!!!!!!!!!!!

Wabwange Manyanga????/
Kamanda Lema kasema, tutawazika wakiwa hai au ka vipi tutawachoma moto.
No compromise
 
Jamani msiitukane CCM - jitahidini muwe na subira; ahadi za CCM zilikuwa nyingi na ifikapo 2025 zitatekelezwa kama viwanja vya ndege vya kimataifa kujengwa Mwanza, Bukoba, Kigoma, pia kununua Meli mpya kuirithi ile ya MV bukoba, barabara za lami kibao nk trlilioni 7+ :wave:; ikiwa bado ahadi zake na kupambana na ufisadi na mabadiliko ya kweli ndipo tufanya maamuzi. Lakini nashauri peoples power washike usukani.
 
Aiseeee,
Dar kwa kweli ni tatizo. Wengine wanasema ni masharobaro ama waswahili swahili vile.
Mimi nasema Dar njaaa imewazidi.
Waache ulafi na kujifanya wako bize tuungane kuikomboa nchi.
Bado kitambo kidogo, chama cha mashetani kinang'oka

Kumbuka dsm chadema walishinda najimbo yote km c dhuluma
 
  • Thanks
Reactions: HBO
Jamani msiitukane CCM - jitahidini muwe na subira; ahadi za CCM zilikuwa nyingi na ifikapo 2025 zitatekelezwa kama viwanja vya ndege vya kimataifa kujengwa Mwanza, Bukoba, Kigoma, pia kununua Meli mpya kuirithi ile ya MV bukoba, barabara za lami kibao nk trlilioni 7+ :wave:; ikiwa bado ahadi zake na kupambana na ufisadi na mabadiliko ya kweli ndipo tufanya maamuzi. Lakini nashauri peoples power washike usukani.

2025????
2015 yenyewe kama watafika basi itakuwa mizimu yao tuu(ancestors) wao maziko yao ni 2014 chaguzi za mitaa
 
M4C ikamalize kazi Dodoma bunge limeshakwisha polisi watakuwepo kulinda PEOPLEZ Lema Tunakuaminia MKUU
 
CCM -B wanalalamika kule Mtwara wanachama wao wanahamia CDM
 
Back
Top Bottom