Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

CDM itaongoza NCHI, Ikulu itachukuliwa

wanaosema 2015 CDM ITABISHA HODI IKULU naomba WAFUTE KAULI YAO...kauli nzur ni CDM ITAINGIA IKULU...kubisha hodi inamaanisha kunamtu ndan ambaye mtasubir uamuz wake wa kufungua ama la. CDM inafungua na kuingia yenyewe
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

alokudanganya Lema ni 'kilaza'nani? mulize mzee wa white house atakuambia y alimwomba ahamie magamba so umechemsha JIPANGE.
 
Hiyo ni mneno mbofumbofu, believe or not, Kilaza kama Lema hawezi fanya hiyo kitu mnaisema. Labda muwape posho wabunge wenu wote ili waende huko mnasema, lakini bado hawatafanikiwa. Hahahahahahaha, teh teh teh teh.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
ulizaliwa enzi za pepopunda?
 
ulizaliwa enzi za pepopunda?

Kwani weye ulizaliwa enzi zipi?. Chadema mnajipa maneno ya faraja ambayo nayafananisha na upepo tu, kwani si muda mrefu hamtasikika tena, mtakuwa chama mfu. Believe or not.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
We ni wa ovyo sijapata kuona..

Hujapata kuona huku umeniona. Teh teh, hebu niambie mtu kuwa sio wa ovyo anatakiwa awe na sifa zipi hasa?.
.
"WASIOONGOZA SERIKALI NI CHAKULA CHA WENYE SERIKALI".
 
Waliosoma ni zao la ufisadi. Tuwaogope kama ukoma!

Kwani wewe hujasoma? Kama umesoma kumbe nawe ni zao la ufisadi. Hii inamaanisha kuwa Umekuzwa na ufisadi, bila ufisadi usingekuwa hapo ulipo.

.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
inawezekana Lema ni kilaza kielimu lakini kwa hakika wewe ni KILAZA wa FIKRA, pia nina wasiwasi na utimamu wa akili yako kwani ungekuwa mzima usingezubuthu kutoa kauli ya namna hiyo. bila shaka wewe ni wa Magamba wanaotafuna trilioni 13 kwa wizara mbili, zaidi ya bajeti ya nchi then mnashangilia upuuzi. nani KAWALOGA??????????

Ukiona mtu anatafuna hela na bado anapeta bila kushitakiwa ujue kuwa huyo mtu anatumia akili ya kiwango cha juu. Kwa hiyo Magamba wote ni werevu, na Magwanda wote ni vilaza.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
inawezekana Lema ni kilaza kielimu lakini kwa hakika wewe ni KILAZA wa FIKRA, pia nina wasiwasi na utimamu wa akili yako kwani ungekuwa mzima usingezubuthu kutoa kauli ya namna hiyo. bila shaka wewe ni wa Magamba wanaotafuna trilioni 13 kwa wizara mbili, zaidi ya bajeti ya nchi then mnashangilia upuuzi. nani KAWALOGA??????????
ask him who taught first proffessor?
 
Kwa kukosa hekima na adabu angalia unatukana babu na bibi zako na baadhi ya ndugu zako kwani najua hawajaenda shule. Ina maana nao ni msosi wa wasomi pia?

Teh teh, sasa wewe unauliza marungu kituo cha polisi.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
wewe fisadi jitu! Hauna hata haya ya kujineemesha na kodi ya watanzania?

Bado mpo icu na bado unabwabwaja tu na misemo mibovu kama hii ya kwako isiyo na mbele wala nyuma fisadi chafu wewe!

Safari hii nakwakikishia ya kwamba utakimbia jukwaa mwenyewe kama mafisadi wenzako watumwa walioamua kutua mzigo na kurudi ndani ya jf na id tofauti!

Tumia kichwa unapotaka kuja humu jamvini kilaza mkubwa wa mafisadi wewe!

Hauna hata haya!

.
.
.
"wasiotawala ni chakula cha watawala".
 
Back
Top Bottom