Lema ndani ya Ch Ten,TATHMINI

Lema ndani ya Ch Ten,TATHMINI

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Nimeazisha thread mpya ili tuweze kufanya tathmini kidogo kuhusu mahojiano ya Mh. Lema na Hoyce Temu.
Kwa mtizamo wangu ni kuwa Lema ameonyesha kuwa mtu jasiri na anayejitahidi kusimamia maneno yake.Anazungumza kwa kujiamini mno na ana uwezo mkubwa wa kushawishi.

Mapungufu makubwa niliyoyaona ni kupenda mno kuchanganya Kiingereza na Kiswahili na hili kuna mahali lilimponyoka,alisema "court of appelant"naamini akimaanisha court of appeal.

Pia anapenda kuwanukuu watu kama Martin Luther King na mambo kama ya mapinduzi ya Ufaransa,namshauri ayasome kwa kina mmandiko na historia anazopenda kunukuu na kuwa na weledi wa kutosha kabla ya kunukuu.Mapinduzi ya ufaransa yamejadiliwa kwa kina sana na mwandishi Mihangwa katika makala mbalimbali za Raia Mwema.

Kila la heri Lema na jitahidi kuyafanyia kazi hayo,
 
Japo sijui ulilenga nini lakini sijaona mantiki ya kukosoa matumizi ya "court of appelant" kama vile broken english, hii mimi sijaona wapi ina utata tofauti na wewe mwenyewe tu kukosea spelling zake na kuandika 'appelant' badala ya 'appellant', tafadhari rejea ufafanuzi zaidi hapo chini:-

Appellant
- Somebody who appeals court decision.
Or else, a person or group of people in a legal action who appeal a judicial decision in a higher court or a different jurisdiction

Mheshimiwa umeandika ujumbe wako vizuri sana, lakini nimeshangaa kidogo unaposema Lema inabidi asome vyema maandiko ya historia na kutolea mfano Mihangwa; muandishi wa habari kama moja wapo ya watu wakusomwa? hapana sikweli, Mihangwa kaandika katika mtazamo wa kiandishi habari naye amesoma, akiwa hana primary data ya tukio. Nakushauri wewe pia soma waandishi kama Lowe, Merchant, nk. kwani wao wamefanya utafiti kuhusu French Revolution. Asante
 
asnte sana kwa ushauri,mimi nawasoma hawa lakini kwa wansiasa sijui kama wan muda huo na lengo lilikuwa kumstua kuwa kuna watu waanandika masuala anaypenda kuya qoute.
Nashukuru sana kwa kunizindua na mimi pia.
 
Japo sijui ulilenga nini lakini sijaona mantiki ya kukosoa matumizi ya "court of appelant" kama vile broken english, hii mimi sijaona wapi ina utata tofauti na wewe mwenyewe tu kukosea spelling zake na kuandika 'appelant' badala ya 'appellant', tafadhari rejea ufafanuzi zaidi hapo chini:-

Appellant
- Somebody who appeals court decision.
Or else, a person or group of people in a legal action who appeal a judicial decision in a higher court or a different jurisdiction
Naukuru sana kwa kunisahihisha ingawa hukuweka tathmini yako ambalo ndilo lengo hasa la thread hii.
 
asnte sana kwa ushauri,mimi nawasoma hawa lakini kwa wansiasa sijui kama wan muda huo na lengo lilikuwa kumstua kuwa kuna watu waanandika masuala anaypenda kuya qoute.
Nashukuru sana kwa kunizindua na mimi pia.

Pamoja sana mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom