kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Zaidi ya miezi mitatu sasa akionekana kwenye matukio ya chama na yale ya jimboni kwake kama lile la juzi na kamati ya bunge alivalia shati hili
Zamani ililalamikiwa gwanda lilipovaliwa
hadi kwenye shughuli za kiserikali
Tukajibiwa kuwa gwanda si uniform ua chadema ni vazi tu
Haya bas sawa rasimisheni nalile shati la mzee liwe sare
Zamani ililalamikiwa gwanda lilipovaliwa
Tukajibiwa kuwa gwanda si uniform ua chadema ni vazi tu
Haya bas sawa rasimisheni nalile shati la mzee liwe sare