Siwakumbuki kwa majina ila nachojua ni kuwa idadi ya madiwani wa CCM inazidi kupungua.
Kama ni hivyo itabidi makao makuu ya EAC yahamishwe.Feedback,
Tunaijua vizuri sana Arusha na nimepita mwezi huu mwanzoni nikitokea mwanza. lakini tuweke wazi . Je manispaa ya Arusha mjini ina barabara ya Lami? Tutajie basi ni bara gani hiyo la Lami inayomilikiwa na manispaa ya Arusa mjini? Kumbuka kuna barabara zinazomilikiwa na TANROAD.
sasa tubainishie na unitakie barabara zinazomilikiwa na manispaa ya arusha mjini yenye lami?
nasubiri jibu hapa.
Siasa na uanasiasa ni kazi ya kumobilize watu kujiletea maendeleo yao wenyewe, sasa wewe ukianza kujenga barabara au hospitali kimya kimya kwa kutumia hela zako hiyo si siasa ni biashara unawekeza ili baadae uvune na ndicho kinachowashinda wanasiasa wengi tanzania kama kina RA.

Tumbiri.
Naomba ujue siku zote wananchi hawataki malumbano bali wanataka maendeleo. Na Mbunge ndio mwenye dhima kubwa sana katika kuchochea maendeleo ya jimbo lake akishirikiana na wananchi wake. Kwani ni yeye anawawakilisha wapiga kura wake ndani ya chombo kikuu cha kutunga sheria na kupatisha bajeti ya nchi. Sasa tuweke wazi je amewasaidia nini wananchi wake?
Si kweli, nafikiri wewe hujafika Arusha ukitoka Oman usiishie Kibandamaiti tu njoo A-town ujionee maendeleo.
Feedback,
Tunaijua vizuri sana Arusha na nimepita mwezi huu mwanzoni nikitokea mwanza. lakini tuweke wazi . Je manispaa ya Arusha mjini ina barabara ya Lami? Tutajie basi ni bara gani hiyo la Lami inayomilikiwa na manispaa ya Arusa mjini? Kumbuka kuna barabara zinazomilikiwa na TANROAD.
sasa tubainishie na unitakie barabara zinazomilikiwa na manispaa ya arusha mjini yenye lami?
nasubiri jibu hapa.
Barubaru,
Naomba nimsaidie Feedback kujibu. Assume basi kwamba katika Manispaa ya Arusha hakuna barabara hata moja ya Lami inayomilikiwa na Manispaa ya Arusha. Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba Lema hafai kuwa Mbunge?
Mkuu Luteni, Tatizo ni huo muda wa kumobilize watu utatoka wapi kama hatumalizi huu mgogoro? miaka minne iliyobaki inakimbia kama, haitusubiri. na kama ukifikiri kwa umakini, hiyo ni janja ya CCM ili wapate nyundo ya kuwatwangia 2015. Malizeni huu mgogoro ili mpate muda wa kumobilize wananchi wenu kujiletea maendeleo.
Kwa taarifa yenu Lema na siasa za Arusha zinaitangaza Chadema zaidi ya mnavyodhania mnaweza kufikiri ni janja ya CCM kuchelewesha maendeleo lakini itakula kwao, wananchi wa leo si wale wa enzi ya RTD watangaziwe fulani ni mhujumu wa taifa bila waokujua leo wanaona nani msumbufu. Kipimo kizuri pamoja na yote yanayoendelea waambieni CCM waitishe uchaguzi wa madiwani Arusha muone kama kura zao hazijapungua ukilinganisha na za mwaka jana.
hapo kwenye Red Lema ameyafanya hayo!..? Je kuwaambia watu waandamane na kijipeleka jela ... kuingilia siasa za NCCR ... ndiyo defn. yako ya mobilization ..?!
bado me bado am sticking on my point mwakilishi mzuri ni yule ambaye maendeleo jimboni mwake angalau yanaoneka .. hata kama hatumuoni kwenye TV & Magazeti, Maandamo & vurugu na mapolisi kila siku . lakini anaonekana jimboni kwake..
Feedback.
Arusha hakuna barabara ya lami sana sana tunatarajia mradi wa kuboresha miundombinu ya Jiji itaanza mwakani pita pale Arusha Sec uwanja wa mpira kuna kampuni ya kichina imeshaanza kuleta vifaa.Ikumbukwe mradi huu unafadhiliwa na WB chini ya mpango wa maboresho ya Jiji la Arusha bila kusahau madiwani wa CDM hawashiriki vikao vya baraza la madiwani hivyo sifa zinaweza kuchukuliwa na kile chama cha magamba ahaaa aa.
Kwa taarifa yenu Lema na siasa za Arusha zinaitangaza Chadema zaidi ya mnavyodhania mnaweza kufikiri ni janja ya CCM kuchelewesha maendeleo lakini itakula kwao, wananchi wa leo si wale wa enzi ya RTD watangaziwe fulani ni mhujumu wa taifa bila waokujua leo wanaona nani msumbufu. Kipimo kizuri pamoja na yote yanayoendelea waambieni CCM waitishe uchaguzi wa madiwani Arusha muone kama kura zao hazijapungua ukilinganisha na za mwaka jana.
Kwa taarifa yenu Lema na siasa za Arusha zinaitangaza Chadema zaidi ya mnavyodhania mnaweza kufikiri ni janja ya CCM kuchelewesha maendeleo lakini itakula kwao, wananchi wa leo si wale wa enzi ya RTD watangaziwe fulani ni mhujumu wa taifa bila waokujua leo wanaona nani msumbufu. Kipimo kizuri pamoja na yote yanayoendelea waambieni CCM waitishe uchaguzi wa madiwani Arusha muone kama kura zao hazijapungua ukilinganisha na za mwaka jana.
Tumbiri,
Kumbuka hapa tunaiongelea Arusha mjini. Naomba nitajie tu njia/ barabara gani ambayo inamilikiwa na manispaa ya arusha mjini ni ya L:ami. Nitajie kwa majina na sio kufanya assumption.
Kwani mimi ninavyojua na ndivyo ilivyo manispaa hiyo haina hata barabara moja ya lami inayomilikiwa nayo zote unazoziona zinamilikiwa na Tanroad.
nasubiri jibu lako hapo na hiyo list
Mkuu Feedback.
Ninachojua idadi ya madiwani wa CDM imepungua kutokana na CDM kuwatimua madiwani wake.Idadi ya madiwani wa CCM ni kubwa kabla ya madiwani wa CDM hawajatimuliwa na chama kwa shinikizo la Lema.
Ngoja vijana wa NAPE waione hii thread inayomuhusu LEMA!
Mkuu Ngongo..
Habari za sikukuu? Vipi mradi wa Machinga Compelex na Barabara za juu alizosema Lema wakati wa Kampeni zimefikia wapi?
Ni ukweli usiopingika kuwa Godbless Lema amekuwa ni mwanasiasa mwenye kuibua mijadala mingi hapa nchini, ndani na nje ya bunge. Kwa uchache utaungana nami kukumbuka hotuba ya waziri kivuli wa mambo ya ndani aliyoitoa bungeni ilivyovuta hisia za watanzania wengi. Bila kusahau tamko lake lililopinga mwafaka uliofikiwa kati ya madiwani wa CCM na Chadema Arusha na kupelekea madiwani hao kufukuzwa Chadema.
Ni hivi majuzi tu ametoa waraka wake kuhusu kufukuzwa Kafulila unavyojadiliwa hadi leo hii. Ukiachilia mbali misukosuko yake na harakati za kuwasaidia wananchi wa jimbo lake la Arusha mjini hadi kupelekea kuwekwa rumande kwa wiki mbili, vile vile tumejulishwa Lema amepata tuzo yamwanasiasa bora na jasiri kijana kutoka blog moja nchini na kuwashinda wanasiasa wengine machachari waliotamba mwaka jana kina Zitto, January na Mnyika anayeibukia kwa sasa. Kwa vigezo hivi sina budi kabisa kusema GL amekuwa mwanasiasa bora wa Mwaka huu tunaomaliza wa 2011, nafikiri utakubaliana nami.
Ni kweli G.Lema ni kiboko,Zitto vp mbona amefifia sana?
Mkuu Ngongo..
Habari za sikukuu? Vipi mradi wa Machinga Compelex na Barabara za juu alizosema Lema wakati wa Kampeni zimefikia wapi?