LEMA mikononi mwa LISSU...

lissu anaenda mbele ya jopo la majaji ambalo hana imani nalo!

So anataka wakihukumu kinyume na matarajio yake apate kigezo cha lawama?
tulia kimya subiri viboko vyako
 
sidhani kama unafatilia habari hizi vizuri!

huyu maundumula sijui mavitumbua ukifuatilia vizuri post zake utagundua hajui chochote kwenye siasa za tanzania,anafaa kuwa anacomment kwenye jukwaa la celebrities,.kila siku yumo jukwaa la siasa lakini hajifunzi kitu humu,naona kama huja kupoteza mda na sio kujifunza
 
Kamanda Lissu maliza salama harakati za awali za msiba wa Baba tujongee Arusha. Tuna matumaini sana nawe. Yaani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…