Lema maji ya shingo Arusha

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

Inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.
 
Wale waliosema lema hatapiga kampeni waje humu tujadiliane
 
Hata asipopiga kampeni atashinda,,,,,Lowasa ndio habari ya Mwanza sasa hivi
 
Huyu jingalao akili amezikalia,anabadilika kama kinyonga!Hivi mtu kupiga kampeni ndio maji ya shingo?Mbona Magu alipiga kampeni?Kama kupiga kampeni ndio kipimo cha maji ya shingo basi mleta mada ana matatizo ya akili
 
Hata asipopiga kampeni atashinda,,,,,Lowasa ndio habari ya Mwanza sasa hivi

Tanzania tuna maajabu mengi...kuna wanyama aina ya nyumbu kila msimu wanahama toka mbuga hii kwenda nyingine sijuhi wako wapo sasa hivi!
 
Sasa kukampeni ndiyo maji ya shingo?Mbona Magufuli alikampeni hadi kumpigia magoti Mama Maria Nyerere Amwokoe, ajabu iko wapi?
 
Tanzania tuna maajabu mengi...kuna wanyama aina ya nyumbu kila msimu wanahama toka mbuga hii kwenda nyingine sijuhi wako wapo sasa hivi!
Hata nyumbu wana njia zao na hawayumbishwi kijinga!
Huyu ni zaidi ya Nyumbu.
 
Hata asipopiga kampeni atashinda,,,,,Lowasa ndio habari ya Mwanza sasa hivi

Ngojeni tingatinga lije kukuomboa jimbo Lema atakuwa historia. Monaban fanya mpango haraka tingatinga lije wafanyabiashara Tunataka Geneva of Africa irudishe hadhi yake.
 
Sasa kukampeni ndiyo maji ya shingo?Mbona Magufuli likampeni hadi kumpigia Mama Maria Nyerere Amwokoe ajabu iko wapi?

Kuna watu walisema lema hatopiga kampeni kwani keshapita jimbo la Arusha.

sasa kutwa nzima anatusumbua kwa sms
 
Ngojeni tingatinga lije kukuomboa jimbo Lema atakuwa historia. Monaban fanya mpango haraka tingatinga lije wafanyabiashara Tunataka Geneva of Africa irudishe hadhi yake.
Mwisho wa mwezi huu kinaeleweka
 
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.

nimesikia anagawa na vyandarua! Hahahahahahaha
 
Sasa ameanza rasmi kampeni za kutuma spam messages akiomba kupigiwa kura.

inasikitisha hii mitandao yetu kutumika kwenye kampeni na kugawa namba zetu kwa wanasiasa.
Kabla ya tarehe 25 nilipokea message toka kwa Joshua Nassari akiomba kupigiwa kura. Kwa mtazamo wako naye alikuwa 'maji ya shingo'! inawezekana, lakini nina hakika matokeo yake uliyasikia. Kwa hiyo hizo message haimaanishi kuwa ni maji ya shingo. Kama huamini, subiri.

Kama una la kulalamika, walalamikie hao unaodai wamempa yeye namba yako ya simu
 
Habari ya Mwanza, ila kwenye uchaguzi mwanza hawakufanya makosa, walipiga nyundo ya utosi, paaaaaaah!

Hata mimi kwenye kampeni za Lowassa nilikuwa naenda. Of course sio kusikiliza pumba zake...bali kutazama namna anavyo tetemeka na anavyo jinyea. Nilitaka nijionee kwa macho. Na Jumapili sikufanya makosa....nilimkata!
 
Huyu lema ndio tuliambiwa asipige kampeni Arusha ....?

Wana Arusha bado wanajiuliza ni kipi alichowafanyia ili wamchague tena?

Jibu ni maandamano na mabomu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…