Godbles Lema alitamka bungeni kuwa Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi haamini kama Raisi Kikwete ameshateua IGP mpya na tutake tusitake this guy is the most powerful person ndani ya jeshi la polisi zaidi ya Mangu....how far true is this theory?
Nyie ndio mnasababisha hata Kama kulikua na mpango wa kumpa hicho cheo mtu asipewe sababu ya midomo yenu sijui mnawashwa nini.