DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Huko ni kupeana ulaji tu. Lema hana mvuto wa kuwapata wanachama na wafuasi Rufiji, Kilwa, Mkuranga, Bagamoyo, Kilindi, Pangani, Vuga na Pemba. KAMANDA ZOMBE ana siri nzito za LEMA
Hongera sana Lema, hiyo ndiyo kazi saizi yako. Ubunge ulikuwa haukufai, kukupa ubunge wananchi wa Arusha waliku overdose.
Huwezi kujenga chama kwa Chopa ni matumizi mabaya ya pesa kuna mambo mengi ya msingi ya kufanya chama hakina ofisi mikoani hata makao makuu hali sio nzuri...mnawachangisha pesa wananchi halafu mnamkodishia Lema Chopa.
Tuwe wakweli hivi Lema ana Influence gani kwenye siasa za Tanzania?
Siasa za Lema ni sehemu za kaskazini maeneo ya Arusha, Kilimanjaro.
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!
Mbowe tuambie kwanini umepata mawazo ya kukijenga chama mara baada ya LEMA kubwagwa ubunge; hizo pesa zitokazo kwa Waziri Mkuu yule rafiki yenu; zingetumiwa kwa kuimarisha ofisi zenu mikoani kwa kuanzia kuliko kumlipa posho ya kukosa UBUNGE Lema; BUSARA ITUMIKE
Sasa hivi utamskia msemaji wa jeshi la polisi au JWTZ anasema chopa za vyama vya siasa marufuku. Zinaziba rada yao kipindi hiki wanapomulika Al-shaabab!
Siungi mkono Lema kuzunguka na Chopaa nchi mzima kwa kauli mbiu ya kujenga chama,ni matumiz mabaya ya pesa.,tunahitaji kutengeneza foundition ya kudumu ili tuweze kuchukua nchi na sio mambo ya Zima moto ya kutumia chopaa kwa siku moja kwenda kuhotubia wanakijiji kwa masaa mawili au moja na nusu na kisha kuondoka.Njia hii haiwezi kujenga chama kama tunavyofikiria.Tutengeneze basic foundition na sio kutafuta amasa ya cku moja na chopa.
Mimi ni kipaji maalum....hayo mengine wapelekee vilaza wenzako!!Kuna watu form six tulikuwa tunawaita kichwa cha panzi, miaka imepita sasa, je umewahi kuitwa jina hilo?