Lema 'anasakwa' Jijini Arusha

Mkuu, na chakufurahisha mpaka sasa, chombo kimoja cha kuaminika kinatuabarisha kuwa "TANGAZO TAJWA HAPO JUU LIMESOMWA NA WANA WA ARUSHA WASIOPUNGUA 85%) to kea jana mpaka leo.

Hii kali lakini inapendeza.
 
Ccm wakipata mtaa mmoja Arusha wameiba. Chadema wamejipanga

Na hao watakaoiba watakuwa ni MAGAIDI (UWT) coz wezi na vibaka wa kawaida wa CCM hawawezi kuiba kura ya CHADEMA Archuga.
 
Hili tangazo ni copy & paste ni ubunifu wa aliyekuwa mgombea udiwani wa CDM mwaka 2010 kata ya Bondeni Bwana Simba siku hizi karejea CCM anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Bondeni kwa tiketi ya CCM.Kiujumla hili tangazo liliwavutia wananchi wengi kulisoma na unapomaliza kulisoma ujumbe unakuwa umekuingia haswa Lema alipogundua Simba kabuni kitu kilichawafurahisha wengi akaamua kuliibua tena.

si mtaa tu mji wote kwa sasa wamemchoka Lema, wanataka mbunge mwenye kujitambua, lema anafanya mambo yake kitoto mno angalia sasa hilo tangazo very childish, huyu jamaa hakui tu
 

CCM walifanya uandikishaji wao wenyewe wa wakaazi wa mitaa wakidhani watafanikiwa kulitumia kwenye hizi chaguzi wakiamini wamefanikiwa kuwaweka nje watu wasioitaka CCM

badala yake wakachemka na wazo lao limekosa mashiko..

Nikutoe hofu, uandikishaji kwa ajili ya uchaguzi huu unaanza rasmi tarehe 23 mwezi huu hadi tarehe 29. Hakikisha unaisomba familia yako inaenda kujiandikisha kwa mujibu wa sheria na kisha tarehe 14 wanaenda kumchagua kiongozi bora.. Bado Hujakosa fursa hiyo, unayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…