Lema amvizia Rais Magufuli kwa Maaskofu

Lema amvizia Rais Magufuli kwa Maaskofu

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
1,984
Reaction score
1,409
Jakaya kikwete aliwai kusema akili ya kuambiwa changanya na yako.
FB_IMG_1523382184784.jpeg
 
Onyeshen na sura ya mkulu isije ikawa ye kafurahi zaidi yake
 
kwani wanaugomvi mpaka wasisalimiane,kusalimiana ni jadi yetu watanzania angalau ungesema gambo.
 
Nilikuwepo hapa....nilimsikia akiomba hela ya sadaka na kuomba asamehewe adifungwe kwa kupotosha watu na kusema kuwa yeye ni Comedian tu, asichukuliwe maanani.
 
hahahaha Lema kafurahi sana kushikana mkono na Rais

Jamaa kazaliwa na uso wa tabasamu. Asili yake ni furaha na amani. Huzuni mnampandikizia tu lakini si asili yake. Hapa alikuwa amefurahi kushikana mkono na nani?

upload_2018-4-10_21-20-56.jpeg
images
images



Au unataka awe namna hii?


mwenyekiti%20ccm%20mkoa%20moro%20innocent%20kalogeris%20kulia%20na%20abdullaziz%20abood%20kushoto%20pix%20no%202.jpg
images
images
images
 
Back
Top Bottom