Kama kuna mtu anaejuta dunian ni mama batilda buriani
wakati zitto kabwe akiwa ameshatoa alioyatoa huyu mama akaamkaa na kuomba
sheria ifwate kijana ahukumiwe kweli jamaa letu likaingia line mara kijana wetu akamtoa,
wakati lema anakampen alichukua muda mwingi kuwaeleza wananchi mnamjua zitto mnakumbuka huyu mama ndie aliechangia kumtoa zito bungen kwa nini mnataka kurudisha upupu ulitaka kufukuza kijana wenu ...watuu weeeweeee
hii ikawe fundisho kwa wabunge wa ccm na wengine kuropoka ropoka
Watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hatimaye akapata kura zao bila kujua wanamwingiza mhuni wa mtaani bungeni

Lema ni mhuni,kihiyo mbabaishaji alipigiwa kura za hasira hana maana hata kabisa.
kama ataweza kututea kuna ubaya gani acha ujinga wako kwani watu wlio mtaani siy watu au hawafai kutuongoza...Mrema na Batilda wametusaidia nini Arusha..Watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hatimaye akapata kura zao bila kujua wanamwingiza mhuni wa mtaani bungeni
Gombea na wewe uone kama tutakupigie kama hutaambulia kura moja yaani hata mkeo nina uhakika hata kupigiaLema ni mhuni,kihiyo mbabaishaji alipigiwa kura za hasira hana maana hata kabisa.
Acha uzushi Lema haja pita kwa hoja moja tu... mimi nimeenda mikutano ya Lema zaidi ya saba lakini sikusikia akiongelea kitu kama hicho niambie alikuwa kwenye mkutano wa wapi na watu wa Arusha hawampi uzito Zito ukilinganisha na Dr slaa na Lema anakubalika kwani hata mwaka 2005 alipita wakamchakachua sema mwaka huu watu walisimama kidete kuhakikisha Lema anakuwa Mbunge wa Arusha kuanzaia kusimamia, kuhesabu, kujumlisha mpaka kutangazwa utakuwa shahidi kam ulifika siku lema anatangazwa pale manispaa maana umati ulio kuwepo si wakitoto na kama wange tangaza tofauti basi damu inge mwangika siku ileKama kuna mtu anaejuta dunian ni mama batilda buriani