Lema allitumia weakness ya batilda kumuangamiza zitto bungen | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lema allitumia weakness ya batilda kumuangamiza zitto bungen

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BASIASI, Nov 11, 2010.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Kama kuna mtu anaejuta dunian ni mama batilda buriani
  wakati zitto kabwe akiwa ameshatoa alioyatoa huyu mama akaamkaa na kuomba
  sheria ifwate kijana ahukumiwe kweli jamaa letu likaingia line mara kijana wetu akamtoa,

  wakati lema anakampen alichukua muda mwingi kuwaeleza wananchi mnamjua zitto mnakumbuka huyu mama ndie aliechangia kumtoa zito bungen kwa nini mnataka kurudisha upupu ulitaka kufukuza kijana wenu ...watuu weeeweeee

  hii ikawe fundisho kwa wabunge wa ccm na wengine kuropoka ropoka
   
 2. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135

  Watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hatimaye akapata kura zao bila kujua wanamwingiza mhuni wa mtaani bungeni
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,501
  Likes Received: 11,375
  Trophy Points: 280
  alijisahau alijua dodoma ni ya kwao teh teh
   
 4. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,121
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280
  Ila bora muhuni kuliko fisadi
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,130
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  TAFADHALI CHUNGA DOMO LAKO, **** KAMA WEWE UNA JEURI YA KUMUITA KIONGOZI WETU TULIEMCHAGUWA KIHALALI ETI NI MUHUNI WA MTAANI!!! UNA CHA KUCOMMENT KAA KIMYA.:rip::rip::rip:
   
 6. B

  Bobby JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,659
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Avant, jk na team yake ni wahuni wa wapi? Please tujuze na hili kwani unaonekana unawafahamu sana watu wewe. By the way, kamwambie ile pesa aliyosema Batilida atawalipia rent vijana wote Arusha akawahudumie watoto yatima vijana wa A town hawahitaji hiyo support ndio maana wamemtosa ubunge.
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Walioiba kura za segerea, shy mjini. Kibaha,mbeya vjjn, n.k ndio wahuni.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,501
  Likes Received: 11,375
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyu Batilda ana asili ya Afghanstan???...anaonekana kama wale wanawake wa kule...
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,501
  Likes Received: 11,375
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 11. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lema ni mhuni,kihiyo mbabaishaji alipigiwa kura za hasira hana maana hata kabisa.
   
 12. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,298
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Waheshimiwa wote waliochaguliwa kuna ambao wakienda majimboni mwao wanalala kwenye nyumba za wazazi wao? Au wote wana miji yao? Kwetu huwezi kuoa au kuitwa mheshimiwa kama huna kwako.
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Dr.Nchimi, Dr.merry Nagu, Dr.Abdallah Kigoda, Dr.JK nk.
  Hakuna hata Dr. Ya ukwweli hapo, wizi mtupu.
   
 14. M

  Makirikiri Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sasa ukisikia chizi ni wewe. Dunia wewe inakuendea kinyume. JK mwenyewe anajua Chadema wote cream na wako makini
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  kama ataweza kututea kuna ubaya gani acha ujinga wako kwani watu wlio mtaani siy watu au hawafai kutuongoza...Mrema na Batilda wametusaidia nini Arusha..
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Gombea na wewe uone kama tutakupigie kama hutaambulia kura moja yaani hata mkeo nina uhakika hata kupigia
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Acha uzushi Lema haja pita kwa hoja moja tu... mimi nimeenda mikutano ya Lema zaidi ya saba lakini sikusikia akiongelea kitu kama hicho niambie alikuwa kwenye mkutano wa wapi na watu wa Arusha hawampi uzito Zito ukilinganisha na Dr slaa na Lema anakubalika kwani hata mwaka 2005 alipita wakamchakachua sema mwaka huu watu walisimama kidete kuhakikisha Lema anakuwa Mbunge wa Arusha kuanzaia kusimamia, kuhesabu, kujumlisha mpaka kutangazwa utakuwa shahidi kam ulifika siku lema anatangazwa pale manispaa maana umati ulio kuwepo si wakitoto na kama wange tangaza tofauti basi damu inge mwangika siku ile
   

  Attached Files:

 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,503
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  sasa nyie CCM mlivoingiza wakata viuno kwenye mabaa na wavaa shanga miguuni huo ni nini kama sio uzinifu
   
 19. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Maneno ya mkosaji,tunae sasa ndo mbunge wetu tuliyeona anatufaa Batilda tumekuachia wewe na wenzio
   
 20. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Lema go go ....
   
Loading...