Ally Kanah inaonekana dhahiri we ni mojawapo wa masalia, thanx LORD dawa yenu inachemka na tutawanywesha ikiwa ya moto. Inaonekana Dr. Slaa anawakosesha usingizi, nyie magamba,mafisadi na wala rushwa mlio kubuhu,mwisho wenu ni 2015, lazima muwe wakimbizi.
Nimecheki hiyo picha ya boss wako,hakuna jipya kwani hata Lyatonga Mrema alibebwa na kushangiliwa sana,jiulize yuko wapi?
Ndugu yangu hatuhitaji kiongozi anaye shabikiwa na watu,bali awe na sifa zifuatazo;
mwadilifu,
mwaminifu,
mtendaji,
asiyekuwa na tamaa ya madaraka,
asiwe mnafiki,
asiwe kigeu geu,
asiwe ndumila kuwili,
asiwe na kibuli.
Wana janvi naomba kuwasilisha.