LEMA ahame chama?

LEMA ahame chama?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Mh. Godbless Lema,Mbunge wa Arusha Mjini, ni zaidi ya mwanasiasa. Ni mwanaharakati aliyekamilika. Ni mwanafalsafa na mtu jasiri. He makes the government works through his creative challenges. Ni Che Guevara wetu hapa Tanzania. Sasa,baada ya CHADEMA kuchukua dola 2015,yeye aendelee kuwa humu? Si vyema akahama chama wakati huo na kubaki kuwa mwanaharakati huru na mpambanaji? Tujaribu kutafakari
 
:A S angry:umetumwa na masalia kuendeleza maumivu kwa CDM?
 
Mimi naamini mtu anaweza kuwa mtetezi wa wananchi akiwa ndani au nje ya serikali,hii inatagemea kama ana nia njema ya kufanya hivyo!
 
Mimi naamini mtu anaweza kuwa mtetezi wa wananchi akiwa ndani au nje ya serikali,hii inatagemea kama ana nia njema ya kufanya hivyo!

Tukutu umerudi lini pande hizi coz Ile tajataja ya masalia member I'd yako ilikuwepo
 
I believe God is in control. is is just a matter of short time hao masalia watakuwa chali kama mbu waliopuliziwa dawa ya rungu. haiwezekani asilimia kubwa ya watanzania walionyonywa jasho lao na kufanywa maskini katika nchi yenye utajiri wa kutisha then nuru ya ukombozi ikaanza ku-shine halafu wapuuzi fulani waizime nuru na matumaini ya watanzania kisa wamepewa vipande 30 vya fedha. Yuda alidhani ata-enjoy life kwa vipande 30 vya fedha alivyopewa ili amsaliti masihi lakini aliishia kupasuka tumbo!
:target:
 
Tukutu umerudi lini pande hizi coz Ile tajataja ya masalia member I'd yako ilikuwepo
Mkuu kama ilitajwa,itakuwa ilitajwa kimakosa.Mimi siwezi kuwa panda ya kupigania maslahi ya mtu furani.Mimi napigania ukombozi wa fikra kwa watanganika wote!
 
Hilo swali ungeuliza baada ya chadema kuchukua nchi....................... kwa sasa unaonekana unafanya kazi ya masalia
 
Inawezekana kuendelea na harakati mahali popote utakapokuwa kutegemea na kilichokusukuma kuingia kwenye harakati zenyewe , huwezi kutetea wanyonge katika chama ambacho wamekubaliana kunyonya wanyonge hadi tone la mwisho , kama cdm itawageuka wananchi bila shaka watu kama Lema wanaweza kutoka nje ili kuleta msukumo mpya, Lema haonekani kama amefuata hela kwenye siasa ,hii ni kwa namna ya harakati zake zilivyo bali waliofuata hela wanafahamika !
 
we mleta mada unajua maana ya 'kuhama' chama? Unadai ahame chama kisha abaki kuwa mwanaharakati... Unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom