Lema aache kumtishia amani DPP

Ukiacha Yesu Kristo na wengine wachache ambao Mungu mwenyewe huwatumia,hakuna binadamu aliezaliwa kuwa shujaa bali dunia ndio hutengeneza mashujaa.
 
kwani DPP alimfuata binafsi au askari wenye silaha acha kujitoa ufahamu
Yule atafutwi kibinafsi, na taratibu za kukamata lazima zihusishwe taasisi za serikali, mbona anajificha?

Naona kamanda unajitoa ufahamu endelea ila kaa ukijua hamtafuti kibinafsi wacheni UKUNGURU
 
Yeye Lema amemtaja kabisa huyo DPP kwa jina, ilitakiwa huyo DPP aende kumkamata Lema na asitumie mtu. Ila Lema kaweka wazi kuwa utawala huu wa uonevu utapita.
Wacha kujitoa fahamu atafutwi kibinafsi, kwaiyo lazima taasisi uhusika zihusishwe ukihusisha polisi na wengine
 
Ila kwa akili yako DPP ana haki ya kumtishia Lema na kulazimisha watu wanunue uhuru wao kwa kesi feki.
 
Hiyo clip.itamtokea puani
Akiambiwa athibitishe madai yake ataweza?
 
Aliyeanza kumtishia mwenzake nani..

Huyu DPP anaeonekana tayari ana hukumu ya Mh, Lema mfukoni mwake.

Ona jinsi alivyotoa povu kuhusu hukumu ya kina Mbowe eti wakate rufaa watakutana Mahakamani, ni kauli za hovyo sana kwa mtumishi wa Umma .
...eti hawa ndio wateule waliochunguzwa mda mrefu mpka mzee baba akalazika kulala juu ya mafaili!!🙄🙄🙄 Najaribu kuwaza sijui ambao walishindwa mchujo walikua na uelewa upi
 
mkuu unaishi nchi gani hiyo yenye mapinduzi ya kiuchumi yanayomfaidisha kila mtu?......


NB/ hiyo nchi bila shaka sio tanzania!
 
unawaweka watu ndani kisha unawambia walipe pesa huku hakuna hukumu yoyote ndiyo kupambana na ufisadi huko kwa tafsir ya CCM
 
Si kosa lake huyo jamaa,Ni kosa la CCM kumnyima elimu na hivo uwezo wake wa kufikiri kujikunyata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…