Lema aache kumtishia amani DPP

Lema yuko sahihi. DPP anajua shwa la lema liko polisi Singinda na mtu yuko nje kwa dhamana ya nini DPP anaingilia kazi ya mahakama. Anafanya kazi ya mahakama kuwa Lema ni muongo.jukumu hilo la hama lema ni muongo au ni kweli ni la mahakama. DPP kazi yake ni kujenga kesi yake mahakaman sio kuhukumu. Alaf anacheka DPP watu walikufa kwa wivu sio kunyongwa.mwisho wa cku ni uhai wa watu umepotea sio ucheke mtu eti kasema ooh kanyongwa. Huyu DPP kiukweli hatoshi. Ni kweli hii "REGIME" itapita, walikuwepo kama yeye leo wako wapi. Anatesa watu jinai uwa haiozi ajue hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umu ulipo itoa mada hii si Mahal sahihi japo umeandika vizuri na nakupa big point Ila umu Kuna watu wapo kuakikisha huwasem vibaya VIONGOZI wao Wala kuwapinga ndio Mana ni Bora waongee pumba kuliko hata Kama ni ukwel kisa tu na wao wanamgao kwenye ruzuku wa chama ambao ni Bora wasijenge ofis wanenepeshe tu matumbo Yao wanasubir mpaka wakipewa nchi ndio waanze kukijenga chama Chao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwann usimwambie DPP aache kutisha wapinzani.Mbona ccm ni wanyonyaji tunalipa kodi Lkn atushirikishwi juu ya matumizi ya kodi zetu zinazopelekwa kwenye vipaumbele vya watawala badala ya wananchi. Nyerere alikuwa Na chuki Na matajiri thus aliwapora Mali zao kupitia utaifishaji.Alipaswa kuwatumia matajiri kuwainua masikini mfano kuliko kutaifisha Mali nyumba za watu ilipaswa ajenge za kwake kisha awape NHC Na sio kuchukua za watu Na kuzifanya za NHC.
 
🤣🤣

Jamaa KUNGURU kweli, kasema hamuogopi DPP ila kajificha.

Kamanda gani anayumbishwa na hana msimamo kabisa?
 
Acheni swaga zenu tunamsubiri fisadi Lugola mahakamani.
 
Kasema haogopi so mfuateni mtajua yeye ni nani
Sent using Jamii Forums mobile app
 

This is beyond idiocy.
 

Nitajie fisad ambae amefungwa jela na amefungwa miaka mingapi
 
Lofa wewee.
 
DPP aache kutishia amani LEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…