Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,278
- 25,846
Baada ya Spurs kwenda sare ya 1-1 na West Brom jana,uzito wa ubingwa wa Leicester umepungua. Kimahesabu,Spurs wenye alama 69 sasa,watafikisha alama 78 kama watashinda michezo yao mitatu iliyosalia.
Leicester yenye alama 76 sasa,yahitaji alama 3 ili kuwa na alama 79 zisizoweza kufikiwa na Spurs,Man City wala Arsenal katika kutwaa kwa mara ya kwanza ubingwa wa EPL. Mechi tatu za Leicester zilizosalia ni za Man U,Everton na Chelsea.