MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,358
Jaymoe
FA.
Heading yako na content yako haviendani. Unajadili legends au waandishi tu.
Ni upuuuumbavu hata kuwaza Uno, Mbishi na watoto wote wa juzi juzi kama legends. Wameleta nini kipya kwenye game?
Unajua maana ya Legend?
Valentine's Special, sikiliza hataIts about time Bongo Gets a taste of good Music.
We have many many rappers but very few poets.
Media mediocrity trying to destroy hip hop.
The fountains of wisdom are drying up, and all we hear is a messed up crank.
Hawa ni wasanii wa Hip Hop Bongo ambao wanaandika sana na kuumiza vichwa; simply they are poets. Its simply mind-bending lyricism.
(1) The X Plasters.
(2) Solo Thang.
(3) Lufunyo.
(4) Fid Q.
(5) One the Incredible.
(6) Nikki Mbishi.
Endelea kuongezea watu anaodhani wana uwezo kama wao wa kuitumia fasihi vizuri.
Jay moe yuko poa sana lakini je unadhani anawafikia hawa mabwana wa juu hapo?
F.A yuko vizuri lakini siyo mind bending lyricist.
...ahsante Bufa!..umeiua thread ya kindezi!
...dogo tangu ajipendekeze kuona mamaake mkubwa akisomeshwa na machalii naona akili yake haijakaa sawa!.
...wa kumhurumia tu!
Nakwambia ni upumbaavu kuwapa status ya ulegend Mbishi, Stereo, Uno, Stamina, Wakazi, Nash MC, Killa na watoto wote wa juzi. Nimekuuliza nini mchango wao kwa game? Nini impact yao mtaani? Watu hawana hata miaka mitano kwa game unawaita legends. Kina Sugu, Prof J, Ngwea, Jabir, FA, Afande Sele, Jay moe utawaita nini kama hao watoto ndio legends wako. Ni aidha wewe ni mtoto hujui huu muziki umetoka wapi au hujui kabisa hii aina ya mziki
Darasa kwangu ni rapper bora sana.
...teh teh teh..mosi,mi sijatukana!Kwanini utukane ndugu yangu?
Its a matter of presupposition; wewe ungejibu kisomi tu.
When we say a Legend what do we really mean?
Naona Bufa amecling kwenye denotative meaning of a LEGEND!
Halafu weird enough mimi sijaongelea who are the architects of HipHop Bongo,
Mimi nimezungumzia the Legends of Mind Bending Lyricism.
Sasa sijawaelewa ninyi mmekuwa wagumu wapi kuelewa?
Its about time Bongo Gets a taste of good Music.
We have many many rappers but very few poets.
Media mediocrity trying to destroy hip hop.
The fountains of wisdom are drying up, and all we hear is a messed up crank.
Hawa ni wasanii wa Hip Hop Bongo ambao wanaandika sana na kuumiza vichwa; simply they are poets. Its simply mind-bending lyricism.
(1) The X Plasters.
(2) Solo Thang.
(3) Lufunyo.
(4) Fid Q.
(5) One the Incredible.
(6) Nikki Mbishi.
Endelea kuongezea watu anaodhani wana uwezo kama wao wa kuitumia fasihi vizuri.
...teh teh teh..mosi,mi sijatukana!
...pili,mi sio msomi!...wewe msomi toa tafsiri zako bayana...,japo sina uwezo wa kutaga,najua kutambua yai viza!
..ahsanta!
!
!
Ujuaji mwingiii....... Stupid
....hahahahahaha...ID yangu ndo hii hii,'sheikh'!...mi sipo kwenye ile 'list of shame!'Teh teh teh!!
Mbona umebadilisha ID brother?
Tumia ile ile ya SHABAZ.