Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,759
Mpaka sio mbaka bwashee.Mbaka umemkumbuka basi legacy yake inajitetea!
Na inajitetea kweli kweli...Mbaka umemkumbuka basi legacy yake inajitetea!
Bashwee kwani legacy ndiyo nini? Tuanzie hapo kwanza kwa nyie mnaojua kidhungu!Mbaka umemkumbuka basi legacy yake inajitetea!
Naona umeanza kuandika KichaggaMbaka umemkumbuka basi legacy yake inajitetea!
Ni kweli itaishi maana anaendelea kulaanika kwa maovu yake.Legacy ya Magufuli bado itaendelea kuishi.
Hakuna atakaefuta legacy yake leo wala kesho...
Umetema checheee! Mwache mwenda zake aliyelaaniwa achomeke huko motoni vizuriLegacy nzuri ya mtu huwa haitetewi.Legacy nzuri huwa inajitetea yenyewe kupitia mambo mazuri pamoja na matendo mazuri aliyofanya mhusika....
🤣🤣🤣Umetema checheee! Mwache mwenda zake aliyelaaniwa achomeke huko motoni vizuri
Mie namkumbuka kwa ujambazi wa kupora hela kwenye maduka ya kubadili fedhaLegacy ya Magufuli bado itaendelea kuishi.
Hakuna atakaefuta legacy yake leo wala kesho....
Ni kweli ,mfano hai ni jinsi Tundu Lissu anavyotembea kwa kuvuta mguu wake uliojaa vyuma.Legacy ya Magufuli bado itaendelea kuishi.
Hakuna atakaefuta legacy yake leo wala kesho.
Kikundi cha wahuni wachache kinapambana kila siku mitandaoni kupambana na legacy ya Magufuli.
Magufuli ataendelea kuishi kwenye mioyo wa watanzania wengi kwa mema na kwa mabaya lakini ataendelea kuishi kwenye mioyo yao.
Tusilazimishane, kila mtu amkumbuke Magufuli anavyotaka. Kama wewe utakumbuka kwa mabaya basi iwe juu yako na usilazimishe watu ama usitumie nguvu kubwa kulazimisha watu wamkumbuke unavyotaka.