Huyu Prof Micahel Sandel wa havard napenda sana lecture zake
Kwenye video hii anaongelea mambo
Lying and principles
Contract
haya wansheria na wale mnaofutilia mambo ya dowans na mikataba tata mnaweza ku foward mungalie kuanzia dk ya 21 nadhani. Hapo ndipo anapoanaz akuongelea contract.