David kulwa
Member
- Sep 18, 2016
- 29
- 2
Wana JF naomba kuuliza ubora wa ma lecture wa hiki chuo maana nasikia ni mmoja anaye hold PHD
ngoja tuone majibu kuwa ni kweli au ndioWana JF naomba kuuliza ubora wa ma lecture wa hiki chuo maana nasikia ni mmoja anaye hold PHD
LecturersWana JF naomba kuuliza ubora wa ma lecture wa hiki chuo maana nasikia ni mmoja anaye hold PHD
Wana JF naomba kuuliza ubora wa ma lecture wa hiki chuo maana nasikia ni mmoja anaye hold PHD
Umekuja kusoma au kufanya uhakiki, pia tofautisha lecture na lecturers
lipumba na uprof wke badala ya kuwa USA kwenye mapresentations yupo buguruni malapa anakmaa na uenyekiti wa CUF chama ambacho hakina hata ndoto ya kuiongoza Tanzania kwenye uhai wa Lipumba.. labda vijukuu wake kama anao
