Lectures: Jifunze English katika Thread hii Bure kabisa

Swali: Kila unapotoa somo lako, je, lengo lako ni msomaji ajue Kiingereza (kusema, kusikia, kusoma, kuandika) au ajue kuhusu Kiingereza?
 
Umeongea maneno mazuri ila grammar yako ya kiswahili ni mbaya. Inabidi uandike ili kila rika likusome kama mwalimu wetu wa English.
 
Mkuu najua kuongea na kuandika kichina,kifaransa kijeruman,kiingereza na kiswahili hapa najikumbushia tu na suala la mitihani nishafaulu kitambo sana
 
Hahahahahahaa
ili kwer
 
Excellent
 

Hili somo la s' nilikua nalicganya sana , pamoja sana mkuu
 
Pamoja sana
Darasa vipi tena

nawasiwasi atakuwa kapata ajira so hashindi sana jf
 
Mkuu! Natamani sana kujua English ila kwa ulivyoanza ni kama umenipoteza kabisaa... kwa sisi ambao hatujui kuunganisha ata maneno mawili ya kingereza sidhani kama tutaweza kukuelewa vzuri
 
Njia unayoitumia kufundishia ndiyo ileile ambayo haijawasadia wahitimu wa sekondari hadi PhD.Njia yako ni kwaajili ya kujibu maswali shuleni kwa njia ya maandishi na kuandika mambo mbalimbali katika maisha yako.Ishu ya kuongea kingereza au lugha nyingine yoyote ile inahitaji ujifunze kwanza kwa masikio na si kwa macho,ukishaijuwa lugha ktk hali ya mazungumzo ndipo sasa yafaa ujifunze sayansi ya lugha kwaajili ya mitihani na kazini.Jiulize swali hili,ni wahitimu wangapi wa chuo kikuu ambao wanaweza kutafsiri kwa usahihi English inayozungumzwa BBC au VOA?
 
Language is a system of arbitrary vocal symbols used in human communication.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…