Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
I can bet wewe sio lecturer wala Tutorial Assistant. Kama taifa lina wahadhiri wa namna yako sio tu limepotoka bali linaangamia na kutumbukia kwenye kina kirefu.
Kwa uandishi huu na reasoning unayoonesha napata wasiwasi uhadhiri uliutolea wapi na ulipata kwa sifa zipi. Maana hakuna hata chembe ya dalili ya Ph.D wala mtu mwenye published and referred work.
Shida yetu walimu ni moja ' we tend to take everything academically' ndio maana it is common to see laymen become successfully in so many arena, mention politics, business, sports, technology to mention a few, while the so called professors, dr and other academicians tunashindwa kuacha legacy ktk maisha halisi na mahitaji ya jamii zetu. Na hili ni common hasa ktk ulimwengu wetu wa tatu.Sasa na hapa wawe serious tena kama huko madarasani?
Kiongoz inaonekana huko darasani mwanafunzi hakatizi!!Nakushauri tu kama kweli unataka mchango wa wahadhiri hapa andika like one.
Malecturer wengi wapenda kutoa maksi za kuwavua chupi wadada,wananikera sana eti hatusomi wanaume ila mabinti maksi za mezani...Natamani nimfaham kama lecturer wangu mmoja mpuuzi wa chuo flani nmchane live,alinifanya niichukue linguistics akati naipenda na ilikuwa inapanda.Lakn nashukuru mungu mwsho wa siku nimehitimu salama.Mana hyo lecturer alipendelea wanawake tu na wale wanaume wakumnyenyekea kama mfaulme.Mbaya zaidi anatunga test hata yeye majbu hajui.[/QUOTE
Kiongoz, haya mambo huwa yanatokea na kwa mtazamo wangu zipo sababu kadhaa;
1. Maadili ya mwalimu husika, hili linategemeana na background yake. Kama ni mtu wa maadili sana hawezi fanya uonevu na upendeleo wowote.
2. Nilisema mwanzoni, muda mwingine majaribu toka jinsia KE kama mwalimu ni ME huwa ni kubwa sana. Mtu anaweza kuwa na maadili yake lakini ikifika stage fulani anaweza shawishika kuyafanya hayo yasio takiwa kama binadamu.
3. Mazingira ya kazi na maslahi ya walimu; muda mwingine kwa sababu ya kutojaliwa ktk maslahi yao waalimu wengi wanaweza kuamua kufanya ndivyo sivyo yaani bora liende. Nina mfano wa chuo fulani palikuwa na msemo maarufu wa 'marupurupu' ya waalimu.
4. Kama ikitokea ukiona hautendewi haki vyuo vingi vina namna ya kushughulikia malalamiko japo bado mwl ana nafasi kubwa sana ya kusababisha 'usumbifu' kwa mwanafunzi akitaka.
Uzuri ni kuwa umeshamaliza so pole kwa hizo changamoto.
Malecturer wengi wapenda kutoa maksi za kuwavua chupi wadada,wananikera sana eti hatusomi wanaume ila mabinti maksi za mezani...Natamani nimfaham kama lecturer wangu mmoja mpuuzi wa chuo flani nmchane live,alinifanya niichukue linguistics akati naipenda na ilikuwa inapanda.Lakn nashukuru mungu mwsho wa siku nimehitimu salama.Mana hyo lecturer alipendelea wanawake tu na wale wanaume wakumnyenyekea kama mfaulme.Mbaya zaidi anatunga test hata yeye majbu hajui.
Shida yetu walimu ni moja ' we tend to take everything academically' ndio maana it is common to see laymen become successfully in so many arena, mention politics, business, sports, technology to mention a few, while the so called professors, dr and other academicians tunashindwa kuacha legacy ktk maisha halisi na mahitaji ya jamii zetu. Na hili ni common hasa ktk ulimwengu wetu wa tatu.
Mfano wakati nikiwa kijana mdogo niliona ndoa za wasomi wa vyuo zikiwa taabani, nikawa najiuliza sasa kwa wasomi ni hivi je wasiosoma itakuwaje.
Pamoja bado naamini wasomi wana michango mizuri katika maeneo yao ya expertise japo wengine wanakosa practice ya field.
Ndio maana nikamjibu ndugu hapo tuli-relax, tuwe flexible..
Amin amin nakuambia..hapa watakuja wachache sana..kuna tatizo kubwa la baadhi au wengi wa wahadhiri wetu kwenye kujiamini wengi wanasumbuliwaga na intellectual arrogance ..ndio.maana wanapelekea vijana kukariri vi slide vya powerpoint tuuu...mijadala ya wazi kama hapa wanasepa...[emoji12]Mimi sio lecturer nimeshauri tu kwa kuwa uandishi uliotumika kwenye uzi sio professional. Lecturer anetegemewa kutokuandika lugha ya kitaalam katika masuala ya kijamii lakini anapoandika kama vijana wa kileo ninashawishika kumshauri.
Assume hao malecture wenzio waje watuhadithie mambo ya mabinti kuandika kwenye mapaja siamini kama ndio changamoto mnazotaka kujadiliana hapa.
Mimi sio lecturer nimeshauri tu kwa kuwa uandishi uliotumika kwenye uzi sio professional. Lecturer anetegemewa kutokuandika lugha ya kitaalam katika masuala ya kijamii lakini anapoandika kama vijana wa kileo ninashawishika kumshauri
Assume hao malecture wenzio waje watuhadithie mambo ya mabinti kuandika kwenye mapaja siamini kama ndio changamoto mnazotaka kujadiliana hapa.
Aksante.
Hata hivyo, kwa uzoefu wangu hiyo niliyoitaja ni changamoto kubwa sana tu. Inaitwa udanganyifu ama 'cheating' wanafunzi wengi ni wahanga wa hili. Mara nyingi linaleta ugomvi ama chuki baina ya wahusika. Nimetumia lugha rahisi ya kawaida kwa jamii. Kwa walengwa wameielewa hasa, wengi wa wanafunzi ni vijana na pia majaribu haya yanawakumba hasa walimu vijana na sio sana kwa wazee au watu wazima sana. Namaanisha hadhira husika imepata ujumbe juu ya changamoto hii.
Amin amin nakuambia..hapa watakuja wachache sana..kuna tatizo kubwa la baadhi au wengi wa wahadhiri wetu kwenye kujiamini wengi wanasumbuliwaga na intellectual arrogance ..ndio.maana wanapelekea vijana kukariri vi slide vya powerpoint tuuu...mijadala ya wazi kama hapa wanasepa...[emoji12]
Kiongozi ebu zitaje hizo mbinu hapa. Maana kama ninasimamia mtihani mwanafunzi anaye cheat nitamdaka tu bila shaka nikitaka.Hoja yako kwa maana ya academic dishonest ni changamoto kwelikweli ila maelezo ya kuhusu mapaja hayakuwa na tija. Hata hivyo hiyo ni mbinu ya kizamani sana vijana tuliomaliza enzi za JK tulishuhudia mbinu mpya na za kisasa. Japo zinaweza kutumika na wale wanaotumia extra materials kufanya mitihani
Kiongozi ebu zitaje hizo mbinu hapa. Maana kama ninasimamia mtihani mwanafunzi anaye cheat nitamdaka tu bila shaka nikitaka.
Hiyo ni kweli ni rahisi mwl kutotambua ila nikwambie kitu; unless huyo mwanafunzi awe ni mzoefu ktk cheating anaweza pona na wasimamizi wasiwe serious na wawe wachache kinyume na hapo ni rahisi kumkamata sababu ya hofu atakayokuwa nayo mara mwl akipita au kumtazama. Kwa mwl ukiona tu mwanafunzi ana hofu isiyo ya kawaida jua kuwa kuna jambo.Mfano mtu anaweza kuprint statistical tables zake zikiwa na added information
Lecture=Lecturer?.Duuuuuu kama wewe ni lecture mi nachoma magamba yangu yote
Hamna lecture mwenye mwandiko km wewe, labda lecture wa saut songea