mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,426
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
Hapo kwenye red ni lecturer
napita.........
Anakijua ila kampa taarifa ili siku ya siku amwambie kwamba hiyo text ndo ya yule nilikueleza kuwa ananitaka na mi simtaki!!!!!!Yaani huyo msichana 'hajui' cha kufanya?
hajui wapi apeleke malalamiko yake?
Acha amchukue kwani wewe uko hoi, hata kuandika lecturer huwezi. Uko chuo gani kwanza?
NTIWA hayo ni makosa ya kiufund mkuu.thanx kwa kunirekebisha elim yangu form 4
Anakijua ila kampa taarifa ili siku ya siku amwambie kwamba hiyo text ndo ya yule nilikueleza kuwa ananitaka na mi simtaki!!!!!!
Chezea wanachuo??????!!!!!
mpenz wangu kanilalamikia lecture wake anamtaka kimapenz kamwambia kama asipo mpa TUNDA la kati basi atamwandikia INCOMPLETE katika research yake.naomben ushauri Nimsaidiaje my wyf material coz nampenda sana
Anakijua ila kampa taarifa ili siku ya siku amwambie kwamba hiyo text ndo ya yule nilikueleza kuwa ananitaka na mi simtaki!!!!!!
Chezea wanachuo??????!!!!!
Yaani huyo msichana 'hajui' cha kufanya?
hajui wapi apeleke malalamiko yake?
MKUU the boss ndo nimemwambia afanye hvo but kaniambia kuwa chuon kwao hakuna pa kushitak coz wote ndo wale wale 2
Acha amchukue kwani wewe uko hoi, hata kuandika lecturer huwezi. Uko chuo gani kwanza?