nkiambiwa my sex was so whack..naweza kufa kwa mawazo
And nature has its way of balancing the ecosystem, when you get something, somebody somewhere is loosing and the vise versa is true. Everything (love including) can't exist all the time to all the people, ila chukua hili la wahenga Kasie wetu,'Kuteleza si kuanguka'
Nilipenda hiyo mara moja. Nikaja kumpenda mwingine aisee. Nahisi alimzidi yule wa kwanza. Maana huyu nilikua hadi nikisikia sauti yake nakua wet. Nikimuona hata awe alinikosea nini nasahau hapo hapo. Labda huyu wa pili ndo alikua mpenzi wa maisha maana sijui kama nitapenda kama nilivyompenda yeye.Nik
Nikwambie kitu Mzigua, penzi la kupitiliza(crazy love) ni kama ugonjwa unaoitwa surua....hukutokea maramoja tu maishani. Kama ulishapenda penzi la namna hiyo basi moyo wako ukija kurudia kupenda haiwezi kua kama vile,ila kama hujapitia huko omba Mungu yasikukute
I simply love Kasie's way....nimejua kua ni mwanamke wa Kinyamwezi nikasema ndio maana. Wanawake wa Kinyamwezi hawajui kukasirika, hata akikufumania na ukauvunja moyo wake mnaweza mkatengana lakini hatakuchukia, mnakua marafiki and who knows mbele ya safari huko........I never stay where mud is.... whenever I drop or fall I stand up step forward clear the mud and move on.... life should go on.
know kwa mwanaume hata iweje,sifa ya kwanza Ni kumrodhisha mpenzi...so akidiss eneo Hilo..haha soft spot..yo kick where it's hurts..avatar hiyo Ni jamaa flan napenda Sana movies zake..Aahahahahahahhaaa looh pole sana. Umenifanya nimecheka mnoo huku nikikenua meno yangu yote nje aahahahahhahahahaaaa daah mapenzi banaa.
Pia nimejikuta nimeangalia avatar yako, japo yaweza kuwa haufanani na avatar yako ila nimewaza na jifua lote hilo, strong arms halafu akikwambia your sex was whack ndo ujione kama Pirton.... hahahhaha not Kasie aiseeh labda kwakuwa nimekulia uswahilini.
Mie mtu akithubutu niambia hivo basi ntamtafutia jibu lake tuu laah nikimuona wa hivii namnyamazia kimyaa hata simjibu.
Ila umenichekesha sana a hahahahahaa
Kasie Matata.
And in most cases you end up with broken heart, sasa unampata mwingine amabaye yeye ndio anakupenda kufa lakini ukiwa nae in bed mpaka uvute hisia za alieuvunja moyo wako ndio unakua turned on....love isn't fair sometimesNilipenda hiyo mara moja. Nikaja kumpenda mwingine aisee. Nahisi alimzidi yule wa kwanza. Maana huyu nilikua hadi nikisikia sauti yake nakua wet. Nikimuona hata awe alinikosea nini nasahau hapo hapo. Labda huyu wa pili ndo alikua mpenzi wa maisha maana sijui kama nitapenda kama nilivyompenda yeye.
am good..hah sijawahi ambiwa hivyo...hata kwa kutaniwa.Hahahahaa.. si mtu anajisemea tu lakini. Kwanini ujiumize
I simply love Kasie's way....nimejua kua ni mwanamke wa Kinyamwezi nikasema ndio maana. Wanawake wa Kinyamwezi hawajui kukasirika, hata akikufumania na ukauvunja moyo wake mnaweza mkatengana lakini hatakuchukia, mnakua marafiki and who knows mbele ya safari huko........
Hahahaaa, si unaona sasa Kasie, bado nyie ni marafiki, angekua mwanamke wa Kihehe kama angeshindwa kuwadhuru hao vidosho au huyo mwanaume basi angejitoa roho yeye mwenyewe, lakini Mnyamwezi wewe wala huna makuu unasonga mbele na kujipa raha mwenyeweHahahahahhahaa umenikumbusha nilikutana na mkaka mmoja aliniambiaga maneno haya haya uliyosema kuhusu wanawake wa kinyamwezi. Nikamwambia usituchukulie poa.... hasa mie naweza toka nje ya mipaka ukastaajabu. Hakunielewa. ... tulikuwa marafiki mwisho tukawa wapenzi... akaanza kuchukua poa kuhusu wanawake wa kinyamwezi tulivyo, siku ya siku alikuja stuka yuko mwenyewe na vidosho wake mie ala sina time nae ila tukikutana namsabahi kama hajawahi nifanyia ubaya. Akinipigia simu napokea kwa sauti nzuri na tunaongea vizuri tuu ila mahaba ndo hayupo tena. Tunachati vizuri tuu ila not anymore as before.
I always move on...
Hahahaaa, si unaona sasa Kasie, bado nyie ni marafiki, angekua mwanamke wa Kihehe kama angeshindwa kuwadhuru hao vidosho au huyo mwanaume basi angejitoa roho yeye mwenyewe, lakini Mnyamwezi wewe wala huna makuu unasonga mbele na kujipa raha mwenyewe
ujanja wote kumbe hata lugha ni shida?Wale mnaojua kingereza mnitafsirie huu ubuyu wa moto moto
Mambo ni hiviiiii