Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,028
- 1,051
Niwasalim wana MMU...
Bila kuleta uswahili nimalizie kimkasa changu cha msichana niliempenda kuliko wote na bado nililazimika kumuacha.....
Nakumbuka karibu chuo kizima tayari kilikua kishajua kuhusu mahusiano yangu na yule binti and lucky we!...most of people loved our couple!...we were so happy..kwa kifupi ilikua couple ya mfano,,(km nita-expose my names then kukawa na niliesoma nae atakubaliana na mimi 100%..)
Masaa,sik,wiki na miezi ikasogea..mtakumbuka siku tunakubaliana kua wapenz sikua serious,,, so hata na jibu lake sikukitilia maanan sababu I knew I was passing by (I didnott ask kama ana mtu au lah)
Sina namna ambavyo naweza kuelezea nilivyomshiba yule binti...either does she!..nakumbuka baada ya muda kupita alintafuta mtu(kwenye simu) akidai ni x wa my gal akanieleza maneno mengi sana (shits!) about her..
Kutokana na nilivyompenda sikua nimejali sana ila kimoja nilikieka kichwani...alisema uyo dada kuna lijamaa limeshalipia mahari uku kwao(jama alikua anakaa mtaa mmoja na bibie wangu Dar)...
Nilianza kufanya uchunguz sababu nilikua nae karibu sana nilijua soon or later ntajua...kwa maelezo ya mtonyaji wangu bibie alikua anahudumiwa kila kitu na uyooo aliemlipia mahari ambae anafanya mishe zake kwa madiba(south africa)...
Baada ya muda nikiwa nampekua bibie kwa namna tofauti kugundua ndipo nlipokuja kubaini yale maneno ni yakweli baada ya kumbana bibie na alikiri....siku ile haikua nzuri hata kidogo kwangu sababu ndani ya moyo wangu tayari nilishamshiba na kujua shezi my wife......
Baada ya kukiri n kweli jamaa katoa mahari kwao na mahitaji yote ya shule hua anamtumia mwsho wa siku ataolewa nae....
Akaendelea........ alishindwa kuniambia tangu mwanzo sababu alinipenda kwa dhati na tayari alikua anatengeneza mazingira ya kuachana na jamaa sababu ananpenda mimi...
Sikua na njia nyingne zaidi ya kukubali ukweli na kujiona sina bahati kwani mwanamke niliempenda with all my heart belong to some one else....
Kutokea pale tukawa na ugomvi wa hapa na pale...kwa sababu tulizoeana sana nilishindwa kumuacha tukaendelea ingawa that internal peace haikuepo tena...
Aliniahidi kuachana na Njemba yule na kuolewa na mimi ila sikuona kama ni haki jamaa kamhudumia muda ote uo alafu me nimbebee kirahisi..nilihisi tutapata laana au jamaa anaweza kututafuta akatudhuru..
Kuna mengi sana na huyu bibie naweza kuandika kutabu kama shigongo (she use to joke that way....kwamba ujue sisi tunaweza kuandika kitabu!...we gat alot!)
Ayo ni maelezo ya kwanini niliamua kumuacha aende kichuna wa roho yangu...
Nasisitiza bado nampenda na kumuheshimu ingawa siwezi kua nae tena....