"learn to love" hivi hii kitu inawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"learn to love" hivi hii kitu inawezekana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tasia I, Apr 7, 2011.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hawayuu JF!
  jamani naomben tushee experience kidogo. hivi kile kinachoitwa learn to love (kujifunza kupenda) kama nimepatia kiinglish, ni kitu ambacho kinawezekana kweli??
  me nimepata hii doubt baada ya kujikuta nimedevelop friendship nawadada tofauti ambao wanasifa za kua wake wazuritu ila hua sikufall kwa hata mmoja.

  hata hivyo nimekua na shaka ya kumweka yeyote kati ya hao katikamahusiano rasmi kwa kua bado sijazihakiki feelings zangu kwake.
  hapa ndipo kiini cha swali langu kua inawezekana nikawa na mtu just kwasabab anasifa chanya na nikajifunza kumpenda kadri tutakavyo kua pamoja??
   
Loading...