LEARN TO INSTALL ANDROID jerry been IN PC

LEARN TO INSTALL ANDROID jerry been IN PC

tupe tupe mkuu... na kitkat inakuwaje
 
Who it work that program because pc doesn't take sim card

itasaidia nini (au vipi) kutumia program za simu android za (smart phone) wakati pc haichukui sim card na itafanya kazi vipi sio ?????
 
Who it work that program because pc doesn't take sim card

itasaidia nini (au vipi) kutumia program za simu android za (smart phone) wakati pc haichukui sim card na itafanya kazi vipi sio ?????

una install kama V.machine ndo maana ya kutumia oracle v.bx sasa utatumia modem au wifi kwa ajil ya net ila huwez kupiga cm
 
Ulimaanisha Jelly Bean au? maana lugha za watu hizi. atakama hatuzijui lakini ulipotoa hii post iliandikwa Jelly Bean.

mkuu kwani mi ndio niliyeleta habari za jelly bean humu ...? au umekosea ku-quote
 
Back
Top Bottom