Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 717
- 1,536
Safi mkuu.Mara ya mwisho nikiingia Kwa channel yako sikuona kitu.
Nilipiga chini Video zote mkuu, Kipindi kile nilikua natumia microphone ya pc saivini menunua microphone, alufu pia nilikuja kujua njia nzuri ka kutoa tutorial ni kuziweka kwenye time line.Safi mkuu.Mara ya mwisho nikiingia Kwa channel yako sikuona kitu.
Hongera na big up sana wewe jamaa, unachokifanya ni jambo muhimu sana, natamani hata mimi nipate muda nianze kuandaa nondo kwa vitu ambavyo navifahamu na kuvitumia, hamna haja mtu ufe na kuzikwa na haya maujuzi bila kusaidia madogo wanaopambana kuanza.
Najua ni kazi ngumu sana ukizingatia ratiba, lakini kwa uwezo wa Mungu tutafaulu, nasema big up tena.
Haya shusha boss...tuachane na yale ya asubuhiHongera na big up sana wewe jamaa, unachokifanya ni jambo muhimu sana, natamani hata mimi nipate muda nianze kuandaa nondo kwa vitu ambavyo navifahamu na kuvitumia, hamna haja mtu ufe na kuzikwa na haya maujuzi bila kusaidia madogo wanaopambana kuanza.
Najua ni kazi ngumu sana ukizingatia ratiba, lakini kwa uwezo wa Mungu tutafaulu, nasema big up tena.
Unataka umteke?MK254 Jina lako halisi unaitwa nani?
Haya shusha boss...tuachane na yale ya asubuhi
Haha haya mzeeHuku huwa hatujadili siasa, tunasaidiana ila tukikutana kule kwa siasa povu ruksa.
Nimemaliza basics za JavaScript. Msaada wa mawazo nifanye library au framework gani .
Sitaki kujihusisha na back-end kwa sasa.
Hongera na big up sana wewe jamaa, unachokifanya ni jambo muhimu sana, natamani hata mimi nipate muda nianze kuandaa nondo kwa vitu ambavyo navifahamu na kuvitumia, hamna haja mtu ufe na kuzikwa na haya maujuzi bila kusaidia madogo wanaopambana kuanza.
Najua ni kazi ngumu sana ukizingatia ratiba, lakini kwa uwezo wa Mungu tutafaulu, nasema big up tena.
SUBSCREBED
Ukifika Python ya Data Science nishtue...Sina project hata moja mm
Nimemaliza basics za JavaScript. Msaada wa mawazo nifanye library au framework gani .
Sitaki kujihusisha na back-end kwa sasa.