Leadership reflection

Samahani haisaidii kitu, acheni kutudanganya wapuuzi nyie.

Kwahy unaua mtu afu uje useme samahani, pumbavu kabisa.

Ndo mana JPM alionekana dikteta mana wapuuzi walikuwa wengi mno.
 
Imechoma balaaa.

Hadi sasa Wana CCM na watia nia tuna ulizana iwapo October tunatick.
 
Samahani haisaidii kitu, acheni kutudanganya wapuuzi nyie.

Kwahy unaua mtu afu uje useme samahani, pumbavu kabisa.

Ndo mana JPM alionekana dikteta mana wapuuzi walikuwa wengi mno.
Kama huelewi sema usaidiwe kuliko kukurupuka kama mrupuko. 💉💊
 
Imechoma balaaa.

Hadi sasa Wana CCM na watia nia tuna ulizana iwapo October tunatick.
UCHAGUZI si upo pale-pale? Mimi nitaenda ku tick (√) Oktoba inaweza ikawa kwa mgombea kutoka chama chochote atakayenishawishi kwa sera. Tahadhari, sitakuwa na wale wanaosema tususe kupiga kura kwa kuwa wanaosusa walikua wanawake wale wa zamani wa usukumani.😂😂😂
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…