Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
hahahah lemutuz pressure inapanda pressure inashuka tulia bwana mkuuuuu usiogopeee sasa mbona airtel na d.r mwaka wamekupiga chini ..haha mkuu mie sio blogger ni muuza mitumba hapa soko la karume but nipo active sana kwenye social network.. pia sio kweli airtel hawajajitoa kwenye social network mbona millardayo, michuzi, na jamiiforums wanatangaza bado na mikataba inasomeka

- Ninakuwaje na pressure na mtu ninapiga kazi za Social Media tena kwenye kampuni yangu na ofisi yangu na ninatoa ajira kwa Vijana waliomaliza Chuo, nina mikataba kibao ndio maana kampuni inasonga mbele, Mkataba wa Airtel umekwisha wamesema hawa renew ni kawaida kwenye this kind of business naomba nikukumbushe mikataba niliyonayo:-

1. VODACOM 2. NSSF. 3. ASAS DAIRIES 4. SALAMA CONDOMS. 5. FOREPLAN CLINIC - DR. MWAKA. 6. HPK STORES INC. 7. DELINA INC. 8. CHENGULA REAL ESTATES. 9. WINDHOEK LARGER. 10. SAMAKI SAMAKI INC. 11. MBET. 12. DSTV. 13. EMIRATES 14. WIZARA YA NISHATI NA MADINI. 15. DAWASCO. 16. Double Tree Hilton Hotel.

- Now ni kweli mimi sasa sina Mkataba wa Airtel, ila hao uliowataja hawana DSTV, hawana NSSF, I mean I can go on and on hahahaha pole sana sasa hivi najitayarisha kwenda South Africa kuvuta mkataba mpya na Glendfield Whiskey Company, nenda ka google Thami Banda Manager wa kampuni hiyo juzi nimekutana naye Double Tree matayarisho ya safari ya SA, halafu hao uliowataja hawakuenda Lagos wala Dubai, again pole sana nina mikataba ya kutosha sana ndio majuzi nimefanya sherehe ya ajabu sana for a blogger hahahahahaha relax halafu mambo bado sana!!

- Na kama vipi nitajie one blogger mwenye mikataba kama yangu?

le Mutuz
 
- picha ya mwaka gani na mbona hukuweka mpaka chini au? hahahahahahah hamna mwanaume hapa duniani anaoa kimama cha miaka 51 no way!!

le Mutuz
IMG_7826767284560-1.jpeg
Screenshot_2016-01-27-10-27-53-1.png
IMG_7826767284560-1.jpeg
Babu lemutuz umeona hapo xwife wako yuko na mtoto wenu Agapeo wakisubiri kumpokea daddy wao mpya mr TBC hapo trainstation haha wewe endelea kutoa mapovu tu
 
View attachment 330182 View attachment 330183 View attachment 330182 Babu lemutuz umeona hapo xwife wako yuko na mtoto wenu Agapeo wakisubiri kumpokea daddy wao mpya mr TBC hapo trainstation haha wewe endelea kutoa mapovu tu

- HAHAHAHAHA mwaka gani kwani? hahahahahahah unazungumzia mama mwenye watoto 2 miaka 51, halafu picha za mwaka gani hahahahaha

- Sasa ngoja nukuwekee picha za jana usiku kwenye batazzz na wabebezz wa ukweli kaa hapo hapo hahahahahah

le Mutuz
 
- Ninakuwaje na pressure na mtu ninapiga kazi za Social Media tena kwenye kampuni yangu na ofisi yangu na ninatoa ajira kwa Vijana waliomaliza Chuo, nina mikataba kibao ndio maana kampuni inasonga mbele, Mkataba wa Airtel umekwisha wamesema hawa renew ni kawaida kwenye this kind of business naomba nikukumbushe mikataba niliyonayo:-

1. VODACOM 2. NSSF. 3. ASAS DAIRIES 4. SALAMA CONDOMS. 5. FOREPLAN CLINIC - DR. MWAKA. 6. HPK STORES INC. 7. DELINA INC. 8. CHENGULA REAL ESTATES. 9. WINDHOEK LARGER. 10. SAMAKI SAMAKI INC. 11. MBET. 12. DSTV. 13. EMIRATES 14. WIZARA YA NISHATI NA MADINI. 15. DAWASCO. 16. Double Tree Hilton Hotel.

- Now ni kweli mimi sasa sina Mkataba wa Airtel, ila hao uliowataja hawana DSTV, hawana NSSF, I mean I can go on and on hahahaha pole sana sasa hivi najitayarisha kwenda South Africa kuvuta mkataba mpya na Glendfield Whiskey Company, nenda ka google Thami Banda Manager wa kampuni hiyo juzi nimekutana naye Double Tree matayarisho ya safari ya SA, halafu hao uliowataja hawakuenda Lagos wala Dubai, again pole sana nina mikataba ya kutosha sana ndio majuzi nimefanya sherehe ya ajabu sana for a blogger hahahahahaha relax halafu mambo bado sana!!

- Na kama vipi nitajie one blogger mwenye mikataba kama yangu?

le Mutuz
michuzi and others wamekuacha na wana matangazo maradufu ya wewe..kuwa mkweli wewe na michuzi nani mwenye matangazo mengi....hiyo ilikua ni challenge tuu mkuu but wewe ni miongoni mwa ma-blogger mnaokomaa sana but you are not a king of all but nakupa credits zako unajitahidi sanaaaa.. endelea kupambana mkuu ili mradi mkono uwende kinywani..pamoja sanaaaaaa..
 
- Naona umekubali kiaina hahahaha pole sana mimi sishindani na mtu ninapiga kazi na kujitangaza hao unaowasema wala hata sijawahi kufuatilia kazi zao zaidi ya kujali zangu, wewe ni blogger huna matangazo sasa umebakia kufuatilia ya wengine kama mimi ninasema tena I am THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, kwa sababu kazi yangu ni moja tu nayo ni BLOGGING, sichanganyi umaarufu wa kuwa Radioni, kwenye TV au ofisi ya Rais, mimi ni mimi kama mimi so elewa hilo, ok!!

- Weekend nitakuwa Jembe Beach Mwanza, inayokuja South Africa, kupiga kazi ya Social Media, wewe kalia majungu huku

le Mutuz
 
- HAHAHAHAHA mwaka gani kwani? hahahahahahah unazungumzia mama mwenye watoto 2 miaka 51, halafu picha za mwaka gani hahahahaha

- Sasa ngoja nukuwekee picha za jana usiku kwenye batazzz na wabebezz wa ukweli kaa hapo hapo hahahahahah

le Mutuz
Hahahahaha babu nipashe utakuwa lini lakini,umemuona mtoto wako Leona alivyopendeza,hapo ilikuwa birthday yake December last year wakati huo uko busy kuplan birthday ya kimada wako nasra international, ulishindwa hata kutoa zawadi ya big G kwa mtoto wako lakini ulitoa zawadi ya Iphone6 kwa kimada wako dah pole wewe una laana ya mama na watoto.
 
big Super Kiss from my Baby Super Star Actress Irene Uwoya last night at Batazz Batannn live! - le Mutuz

https://www.facebook.com/lemutuz.Nation#
- hahahahaha wewe mama kizee jipime hapa ona hiyo habari kamili ya downtown, hahahahaha huku hatuhangaiki na wamama wazee miaka 51 na watoto 2 hapa ni wabebezz wa ukweli U know, hiyo ilikuwa last night at Rodizio Club!!

le Mutuz
 
big Super Kiss from my Baby Super Star Actress Irene Uwoya last night at Batazz Batannn live! - le Mutuz

- hahahahaha wewe mama kizee jipime hapa ona hiyo habari kamili ya downtown, hahahahaha huku hatuhangaiki na wamama wazee miaka 51 na watoto 2 hapa ni wabebezz wa ukweli U know, hiyo ilikuwa last night at Rodizio Club!!

le Mutuz
Hahaha babu kuwadi kukumbatia mademu wa watu tu dah pole
 
Public
News Feed

Le Mutuz Nation
Just now ·

- Ni kweli maana hata na wewe ulipokuwa mke wangu nilikuwa nakuuza kwa wanaume ndio maana unalijua sana hilo ila ungesema niliwahi kukuuza kwa nani na bei, otherwise enjoy this ni last night at Rodizio Club Masaki huku Bongo tunaishi kila siku sio huko kulala macho na kazi, mwenye laana mimi na ewe anajulikana maana kutoka kwenye ndoa ukaishia kuwa mke wa pili na kubadili dini kuwa muisilamu mtoto wa mchungaji wa kwanza Mbeya, hiyo ni laaana mama kizee hahahahahaha ona hapo jipime halafu weka picha zako na mume wako hahahahahahaha weka hapa watu wapime mimi na wewe nani mukareezzzz hahahahahahahahahha

le Mutuz
 
- Naona umekubali kiaina hahahaha pole sana mimi sishindani na mtu ninapiga kazi na kujitangaza hao unaowasema wala hata sijawahi kufuatilia kazi zao zaidi ya kujali zangu, wewe ni blogger huna matangazo sasa umebakia kufuatilia ya wengine kama mimi ninasema tena I am THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK, kwa sababu kazi yangu ni moja tu nayo ni BLOGGING, sichanganyi umaarufu wa kuwa Radioni, kwenye TV au ofisi ya Rais, mimi ni mimi kama mimi so elewa hilo, ok!!

- Weekend nitakuwa Jembe Beach Mwanza, inayokuja South Africa, kupiga kazi ya Social Media, wewe kalia majungu huku

le Mutuz
dah ama kweli wewe ni kituko cha dunia..ningekua karibu ningekuchapa BAKORA SITA ZA NGUVU..aka ila sikulaumu kwa kua uzee ndio hivyo tenaa.. sasa kama hufuatilii kazi za wengine umejuaje wewe ni king???? kifupi wewe sio king hata kidogo..je ni chombo gani kimedhibitisha wewe ni king.. ???? au ulijibatiza mwenyewe???kama mleta mada alivyouliza jibu swali lake??kifupi wewe ni mpambanaji but bado saaaaana kuwafikia wakaliiiiiii..KIFUPI WEWE NI JIPU UNAHITAJI KUTUMBULIWA..
 
- hahahahahaha ukitaka kujua kwamba I am the KING OF SOCIAL MEDIA IN BONGO tizama wewe mwenyewe povu linavyokutoka na huku wewe ni no body, eti niambie ikifunguliwa thread inayokuhusu utapata comments ngapi? page ngapi na viewers wangapi hebu jifungulie thread tuone, hahahahahahahah relax huna hoja wala facts una wivu chuki na majungu, hahahaha pole sana sisi tunkwenda kwa mbelezzzz

- Unakuwa jipu mwanaume mzima unapolala kwenye mitandao kwa majina ya bandia kutukana wanaokuzidi kimaisha na akili huo ndio ujipu now jitumbue mwenyewe kwanza hahahahahaha

babu mimi sio celebrity na wala sihitaji kua celebrity na wala sihitaji kuwa mtu wa mitandao kama wewe, as you know kila mtu ana maisha anayoyapenda....mimi nimeridhika na kazi yangu na maisha yanaenda vyema.. kwanza kua celebrity kwangu ni utumwa.... swali letu wana jamiifurums tumekuuliza nani amekupa cheo cha u-king but umegoma kujibu isiwe tabu endelea kukomaa na mambo yakooo mbabuuuuuuuuuuuuuuu pamoja sana maisha yanaendelea kama kawa mbabuuu
 
- MWanaume mzima kutumia majina ya bandia kuingia JF kutukana wanaume usowajua na kufuatilia maisha ya wanaume wengine inatia shaka kwa mtoto wa kiume

haya baba swalehe umesomeka the fake king... endelea kula batazzz mpaka walie kwahh kwaah kwaah
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom