We Le Mutuz ni opportunist tu,mchumia tumbo,huko inst mbona unawataja wanaotukana watu but Mange k,unashindwa kumtaja unamwogopa nini? AU unaogopa atatoa skeltons katika kabati- hahahahahahaha wewe mambo yako ni ya bandia bandia ni fake fake sasa niambie kwenye kelele zote ulizoandika upi ni ukweli na upi ni fake ake kama jina lako? hahahahahahahahahah wewe ni bandia bandia tu hata maneno yako ni bandia bandia so mimi sio size yako mimi ni AKILI KUBWAZZZ tafuta bandia wenzako ubishane nao hahahahahahahaha
- Maneno mengi bandia bandia tu eti una degreee za bandia kama jina lako labda hahahahahahahhaa U know wewe umewahi kusikia wapi Shahidi mwenye jina la bandia akasema ukweli? hahahahahahahahaha
le Mutuz
Nimeiona Le big show,Le vocha ya 20k,big up FMES- Kaka nimeshakutumia vocha yako ya TSH. 20,000 unajua sisi huwa tunatimiza ahadi huwa hatuna longo longo hahahahahaha le big show le baharia le mutuz nation THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETOWRK!! au kuna anayebisha? hahahahahahaha U know
le Mutuz
Unaona ulivo maskini wa kufikiri? Sasa umetoka kwenye jina bandia unataka kufananisha elimu yangu na yako, yani wewe ni le hewazz kichwani sijawahi kuona msomi kamili anajiwekea ligi na mwenzie kuhusu elimu otherwise ni ulimbukeni wa kupata elimu ukubwani tu.
Duh...bonge la shati atakuwa anachukuaga karume jero jero
Huu Mchezo Hauhitaji Hasira Mzee........Remember I am only 29 with 2 Degrees (One B.A and One M.Sc), Mbona ikija hoja ya umri unaruka ??? kuna tatizo nadhani hapo... weka Umri wako kama upo REAL la sivyo ni walewale tu Fakefake,........Huu Mchezo Hauhitaji Hasira Mzee🙂
Unaona ulivo maskini wa kufikiri? Sasa umetoka kwenye jina bandia unataka kufananisha elimu yangu na yako, yani wewe ni le hewazz kichwani sijawahi kuona msomi kamili anajiwekea ligi na mwenzie kuhusu elimu otherwise ni ulimbukeni wa kupata elimu ukubwani tu.
https://www.jamiiforums.com/threads/le-baharia-amuonya-diva-loveness.1036605/Baba huyo wa watoto wawili anakuwa moja ya watu wachache sana duniani wa umri wake kuhost show kama hizo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
King of all social media.https://www.jamiiforums.com/threads/le-baharia-amuonya-diva-loveness.1036605/
Le Baharia amuonya Diva Loveness
MSAGA SUMU, Apr 16, 2016 ... 7 8 9
10,713
tayari page 9 na viewers 10,713 ndio maana yake yaani Celebrity thank U JF U know
le Mutuz
- Mtoto wa kiume mtumzima wanaume wanaongelea mambo muhimu ya maisha wewe unaongelea mashati yao, hahahahahaha hahahahaa umenivunja mbavu sana hahahahahaha
le Mutuz
- sina huo muda wa kubishana na fake hahahahahaha weka jina lako kwanza nikuambie umri wangu kama huwezi nyamaza tu maana ni wale
Huna ubavu huo, Mtu unayejidai ni
- sina huo muda wa kubishana na fake hahahahahaha weka jina lako kwanza nikuambie umri wangu kama huwezi nyamaza tu maana ni wale wale fake fake hahahahahahaha U know
le Mutuz
Mkuu unatakuwa labda unajitia kipofu huoni mishati yako...Hivi umeshaanza PhD pale UDSM maana ulijipamba kweli kweli.ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu unafikiri Udsm wanaweza kukupa nafasi ya kusoma PhD kichwa upepo cha kupenda kupiga selfie kama wewe
Mkuu- Kaka nimeshakutumia vocha yako ya TSH. 20,000 unajua sisi huwa tunatimiza ahadi huwa hatuna longo longo hahahahahaha le big show le baharia le mutuz nation THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETOWRK!! au kuna anayebisha? hahahahahahaha U know
le Mutuz
nimeipata mkuu,ni mimiMkuu
Una uhakika gani kama huyo uliyemtumia ndiye MSAGA SUMU na si memba mwingine humu?!
big up kwa king, im humble u know kwan kwny mwny tatizo huko
#Huu Mchezo hauhitaji Hasira#
Tatizo UMRI... tutaendelea kudai umri umri..... let me tell you am only 29 with 2 Degrees ( B.A and M.Sc.) tell us UMRI wako MZEE, we si unajidai hupendi FAKE....Jikubali Weka Umri wako utayaona majina ya watu wote humu ndani by the way I wonder why unadhani NZIRIYE ni fake name FYI that is my name....haya tell me your AGE kama una ubavu huo.
-
- Hii ndio Studio mpya ya Swahili TV tupo kwenye matayarisho ya mwisho kabla ya kuanza kuruka hewani mwisho wa mwezi so relax mkuu hahahahahahahahahha U know, sisi hatuna mambo ya ubandia bandia kila kitu huwe ni open ndio maana ya kuwa na elimu na AKILI KUBWAZZZZZ U know hahahahahahahahah
le Mutuz