William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Big Up kwa Mosha....... kwa Ingependeza pia ungeweka na "share zako" kama zinafika hata asilimia 10% sijui maana unajua kupromote vya watu, narudi tatizo ni UMRI, #Huu Mchezo Hautaki Hasira Mzee#...Tunataka umri acha kukimbia Kujibu miaka yako, MIAKA.... YEARS.... AGE...... Twende kazi SHARE zako
- hahahahahahahah THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK sasa ni safari ya Mwanza na Diamond na Neyo nikirudi Tanga na Mr. Blue nikirudi to Dubai ufunguzi wa Cable Channel ya Clouds nikirudi tayari tunaanza kuruka hewani at Swahili TV, naona umeshindwa kuweka jina na ID yako kama mimi hahahahahahaha huwezi maana inatakiwa kuwa na elimu kubwa sana na AKILI KUBWAZZZZ SANA hahahahahahah U know
- Halafu zimefika page 10 tayari huwa zikifikia ninaondoka kutoa nafasi kwa thread zingine maana ikiwepo thread yangu wananchi wanakuwa very excited kusoma majibu yangu hahahahahahahahahah leo umekutana na THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK hahahahaha U know
le Mutuz
Ziafika tu hata 100 mie sikuachi hadi utaje UMRI wako na jipya mwenyewe umeleta la Swahili TV tell us SHARE zako usizunguke na kuruka ruka kama Popocorn katika SUFURIA...Sema share zako kama una ubavu huo...
- mkuu mimi ndiye niliyeanza kukuomba uwe real na ku reveal jina lako na id yako kama mimi kama unataka heshima hapa kama niliyonayo, badala yake umeugeuza mjadala kuwa unavyotaka hahahahahaha aliyeanza ni mimi nilikuambia hivi wewe huwezi kuaminiwa na yoyote mwenye akili timamu cause unatumia majina ya bandia ina maana huna la ukweli hahahahahahahahhaa ni commnosense tu kwamba kama unadanganya jina huwezi kusema ukweli hahahahahahah
le Mutuz
Okey, nimekupata but sidhani kwa kila jina linaloonekana humu ndani ni fake mengine ni majina yetu, sisi ni wabantu bhana.
Hiki kipande kimenichekesha sana..Kabla ya kupata nafasi hiyo bodi ya redio hiyo ilimshauri Le Baharia atangaze kipindi cha watoto cha saa nne asubuhi jmosi kutokana na uwezo wake wa kujichanganya na rika tofautitofauti kabla ya kufikia muafaka wa kubali kutangaza kipindi cha mapenzi.
Baba huyo wa watoto wawili anakuwa moja ya watu wachache sana duniani wa umri wake kuhost show kama hizo .
Sheeple demha ha ha ha Asante sana kaka kwa offer. love u more, pole na safari.
Anko mbona hakuna mahala ulipoulizwa kuwa ulikuwa wapi,na nani na ukifanya nini?.- asmaa80, please ni check kwenye my number 0717618997 nikurushie vocha ya Tsh. 20,000 maana unatisha U know nakupenda lov u more baby!!, nilikuwa safarini Dodoma on vodacom with Diamond na Mafikizolo ndio maana nilikuwa sijaiona hii U know lov U mingi sana!!
le Mutuz Nation
Anko mbona hakuna mahala ulipoulizwa kuwa ulikuwa wapi,na nani na ukifanya nini?.
LeBaharia...LeMutuz kazi nzuri kiongozi. Mwezi wa saba naingia hapo Bongo lazima nije studio tufanye majadiliano mkuu.
Yap tuongee michongo ya maisha sio bla bla za mashat,viatu, tutakuwa mapunguani- Mtoto wa kiume mtumzima wanaume wanaongelea mambo muhimu ya maisha wewe unaongelea mashati yao, hahahahahaha hahahahaa umenivunja mbavu sana hahahahahaha
le Mutuz
ha ha ha ha ha ha ha UMEPATA JIBU LAKO SAFIIII, umeniquote ila sijakuelewa sentence yako ha ha ha ha ha ha..Anko mbona hakuna mahala ulipoulizwa kuwa ulikuwa wapi,na nani na ukifanya nini?.
Mkubwa nimekuPM .....kuna ishu- anytime boss U know hahahahahahaha karibu sana juzi nilikuwa na Mamen Nyani so karibu sana
le Mutuz
Taja Umri Wako Mbona Kama Unalikwepa Ilo Swali..-
- Hii ndio Studio mpya ya Swahili TV tupo kwenye matayarisho ya mwisho kabla ya kuanza kuruka hewani mwisho wa mwezi so relax mkuu hahahahahahahahahha U know, sisi hatuna mambo ya ubandia bandia kila kitu huwe ni open ndio maana ya kuwa na elimu na AKILI KUBWAZZZZZ U know hahahahahahahahah
le Mutuz
22Wako mbona ujataja!
Nlitaka kumquote anko wile,nilikuwa ninamaana yangu kuuliza hivo,kupewa vocha kusikutoe akili ukajifanya huoni kama huyu jamaa hayuko sawa.ha ha ha ha ha ha ha UMEPATA JIBU LAKO SAFIIII, umeniquote ila sijakuelewa sentence yako ha ha ha ha ha ha..
Nlitaka kumquote anko wile,nilikuwa ninamaana yangu kuuliza hivo,kupewa vocha kusikutoe akili ukajifanya huoni kama huyu jamaa hayuko sawa.