LCD v/s LED Tv

middo lulyheart

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
260
Reaction score
98
Wana jamvi kama kuna mtaalamu anaye jua tofauti na ubora wa hizi aina mbili za T.V, plz anisaidie
 
Led tv ni za kisasa zaidi ya lcd


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Wana jamvi kama kuna mtaalamu anaye jua tofauti na ubora wa hizi aina mbili za T.V, plz anisaidie
Skiliza mkuu kwa ufupi. Hizo zote ni flat screen zakisasa. ila tofauti ina kuja kwenye picture quality. LCD ( Liquid Crystal Display) ni mfumo wa nyuma kidgo kbla ya LED (Light Emitting Diode). LCD zina aina flani ya picture ambayo haina tofauti sana na hizi screen za zmani za chogo tatizo ni mundo tu ila picture quality zina karibiana japo LCd ina kuwa ipo juu zaidi kuliko chogo. Ila unapo kuja kwenye LED hii ina toa picture quality ya hali ya Juu sana kuliko LCD. Ambazo kwa technology ya sasa tunasema HD (High Defination). Na dhani ukitemeblea maduka ya samsung mengi yanauza LED kwa sasa kana kwamba pale unapo chki hata zile picha we mwenywe una vutiwa na ile screen. Pia hata swala la bei za hizi screen LED zipo juu sana kuliko LCD. ndio hayo tu kwa upeo wangu naweza kukueleza ila pia pitia kwenye forum tofauti kweny internet utapata maelezo zaidi. asante
 
Wana jamvi kama kuna mtaalamu anaye jua tofauti na ubora wa hizi aina mbili za T.V, plz anisaidie


LCD = liquid crystal display
Mwangaza wa kioo (Screen brightness) hutolewa na fluorescent plate/membrane (paper/plastic like material) iliyopo nyuma ya kioo kinachoonesha picha.

advantages of LCD
  1. Low price
  2. Good picture/image

disadvantages of LCD
  1. Unsharp images/picture (Picha hazina mng'aro wa kutosha)
  2. Glowing after you switch off TV/Screen(Screen itaendelea kuwa namwanga hata baada ya kuzima TV, kama zilivyo tube light au energy saver lights). hii husababisha picha kuwa na Blur , na kushindwa ku display vizuri picha zenye Frame rate kubwa, kama vile TV ikionesha picha ya gari lililopita kwa kasi kubwa, utaona tuu mistari.
  3. doesnt support high frame rates


LED= Light emitting diode
mwangaza wa screen husababishwa na Taa za LED zilizopo kwenye corners za screen

advantages of LED
  1. Sharp picture
  2. newer technology
  3. supports very high frame rates

disadvantages of LED
  1. high price
 
mnenena vyama wadau hapo juu, pia jamani kuna zinazokuja 4K...
 

Mkuu nakupinga sehemu moja tu, hivi tv za kizamani zenge mgongo ukiwa nayo original quality picha yake ni nzuri sana sio lcd wala led inaweza kuifikia, ni mabadiriko tu ya technologia ndo yametupelekea kuhama huku ila kwa upande wa muonekano wa picture quality aisee hizi tv zilizo na mgongo zina picha nzuri sana mimi nilinunua samsung ya mgongo kama miaka 4 iliyopita nimekuja kununua samsung LED ni basi tu prestige kuwa nayo ila ubora wake wa picha haujaniridhisha
 
Mkuu siku katali saaaana koz mimi mwenywe na samsung 14 inchz ina miaka kumi sasa picha ake ni zaidi ya LCD za Sony. ila nakupa changa moto cheki hiyo samsung yako ni series gani? 3, 4 ,5 ,6 ,7 au 8. Hiyo 5 tu ni blaaa picture quality. so try kufanya review kwenye mambo ya series ya toleo ulilo nayo. ila mind kuanzia 5 mpka hiyo 8 ni bla. pia zingatia aina ya input unao tumia kwenye screen yako (receiver, dvd player au pc) hivyo vina changia sana wewe kupata quality sahihi.
 

Sawa kiongozi nashukuru kwa kunifumbua zaidi
 
Hapo nakubaliana na wewe mkuu hizi Samsung led inategemea ni series gani huwezi kulinganisha quality ya picha ya 8series au 9series na hizi za chogo vitu viwili tofauti kabisaaaa
 
kitu cha LED series 5 ukitumia na HDMI CABLE na receiver HD weeeee utamu balaaaaa
Umeoooona eeeeh yani ni shida aseeeh una pata kitu quality mbya. kma vipi hata kama una laptop connect afu lete feedback hapa
 
vp kuhusu singsung wakuu? na zenyew zpo siries? vp ubora wake kulinganisha na sumsung?
 
mi natumia samsung series 5 LED inch 39
asee ni tamu sana.. alafu ukitaka kuzifaid tv izi usitumie nyaya za pini tatu... tumia HDMI CABLE.. utafwaidi sana yani hapa nimeiunga na pc yangu aisee nachat FB kwa raha msarehee ki2 clear had inakera yani balaaa!!! af sasa uzuri wake ni kwamba unaweza kuiupdate kwa software zao samsung pale tu watapotoa muonekano mpya wa screen na option zake...

#NUNUA LED na sio LCD
 
labda kampuni inayotengeneza tv hufanya ubora wa picha uwe tofauti
 
LCD inatumia back light , kwahiyo inaathiriwa na mwamga bt LED object katika picha ndio inayoa mwanga na hivyo kuwezesha screen ya LED kitoa pocha nzuri hata kwenye mwanga mkali yani outdoor display
 

acha kudanganya watu tv za chogo hazina ubora wa picha kwa sababu zifuatazo

ubora wa picha unatokana na uwezo wa tv kutoa more color options, color option ktk tv zinahesabiwa kwa kutumia pixels, kwa lugha rahisi pixels ni vidot vidogo vinavyokua na rangi nyingi tofauti, tv za chogo zinatumia teknolojia ya CRO( cathode ray osciliscope) ina maximum ya chini sana ktk kutoa izo pixels ndo teknolojia ya juu izo LCD zimeongeza uwezo wa kutoa more pixels with the same screen size, watu wakachemsha akili wakaja na LED ambazo zimeongeza uwezo wa pixels per the same screen size.

kwa iyo determining factor ni uwezo wa kutengeneza pixels nyingi per screen size hata simu kabla hujanunua watengenezaji wanajitamba iwingi wa pixels per screen size which automatically determine how good the picture will b.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…