Hata mimi nimelinganisha nikabaki na viulizo teleHao ni watu wawili tofauti, maana pua zinakataaa kulinganw kabisa.
Umeangalia vizuri, hata eneo la shingo linaonesha kuna utofauti mkubwaHao ni watu wawili tofauti, maana pua zinakataaa kulinganw kabisa.
Hao ni watu wawili tofauti, maana pua zinakataaa kulinganw kabisa.
Mnamacho hata hamuoni wakuu???Hata mimi nimelinganisha nikabaki na viulizo tele
Ni mmoja huyo, nafikiri alikuwa na matatizo ya ngozi na amepona.Angalieni kuanzia shepu ya kichwa. Mdomo macho. Hair structure utagundua ni kitu kile kile