Muswada wa Marekebisho ya adhabu kwa Vyombo vya Habari na Wanahabari wakataliwa Bungeni!
- Wapinzani waupinga kupitia Tundu Lissu, wabainisha Serikali kuingilia Muhimili wa Mahakama kuhukumu
- CCM washangilia wakati Jenister Mhagama akitaka sheria yote ipitiwe upya