lazima unye maji

lazima unye maji

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1385978_607764775954187_1243242115_n.jpg

Muswada wa Marekebisho ya adhabu kwa Vyombo vya Habari na Wanahabari wakataliwa Bungeni!

- Wapinzani waupinga kupitia Tundu Lissu, wabainisha Serikali kuingilia Muhimili wa Mahakama kuhukumu
- CCM washangilia wakati Jenister Mhagama akitaka sheria yote ipitiwe upya
 
kwani huyu nani mbona kama Odinga
 
Mwanasheria mkuu wa ccm,anaidharirsha one of the old and respectable carrier in the world
 
Jaluo lililohamia Tanzania.
Jaji Werema Frederick mwanasheria mkuu wa Tanganyika.
 
zipo kazi ngumu lakini kazi ya kuitetea ccm machoni pa wanaojitambua ni kazi ngumu kuishinda hiyo kazi ngumu
 
Back
Top Bottom