Nyerere alisema "Ikulu sio pango la walanguzi!", lakini aliyempigia debe Mr. Clean ndio ailipiga dili za ulanguzi hatari!. Mwenyewe akafa kihoro!. Taifa linajua, ndio maana tunapigania katiba mpya kupitia ukawa!.
Mimi nasema hivii malizeni maneno yote mabaya kumuhusu huyu Rais anayesubiliwa kuapishwa lakini huu ndio mwisho wenu ongeeni hata mabaya ambayo hatukuwahi kusikia hatubadili msimamo.
kasome ilani ya chadema(ukawa) na rasimu ya pili ya katiba ya wananchi, ndo anachoenda kufanyia kazi Lowassa, deal litatoka wap? bunge linalokuja sio kama lile mlilozoea la kulindana kisa ni wana ccm