Mambo ya ndani ya ndoa ya Masha hatuyajui, kama yeye na mkewe wana makubalinao flani hatujui, lakini ninawajua wananchi wengi hapa Darsalama, wanaoishi maisha ya open ndoa, na kuishi pamoja kwa ajili tu ya watoto wao, kuna wengine mashoiga na wana wake na watoto,
Masha ni mtu mzima na mwenye akili timamu na msomi pia aliyebobea na ni mwanasheria mzuri sana kati ya wachache sana tulio nao bongo, eti at this time and moment of his life tunaweza kumfundisha what is right na what is wrong? Tena waziri wa mambo ya ndani? Eti wewe mkuu unamjua vizuri mkewe?
Eti ni makosa kwa M-Tanzania kwenda Rosegarden kwa sababu tu ya kazi yake? Kwa sababu amesema nani? Kama hizi habari ni za ukweli na ni njema sana mbona waliozileta hawakuzileta kwa majina yao hasa wanayoheshimika nayo humu forum? Hivi kwa nini mnapenda kujifanya wajanja wakati ni wajinga? Hivi ni kwa nini mnapenda kuwafanya watu hapa forum kuwa ni wajinga sana na ninyi tu ndio wenye akili? Wewe unaamini kuwa una hoja hapa kwa nini unatuzunguka na majina kwa nini usisimame na jina lako hasa unalotumia hapa? Wanaleta udaku hapa halafu wanakimbia na kuangalia kwa pembeni huo ndio ujanja?
Wakuu again ninaomba mtuambie Masha ametumia hela ngapi za serikali kuhudumia huyu kimada? Msitupotezee muda hapa, kama kuwa na kimada ni vibaya sana basi tubadili katiba badala ya kujaribu kuharibu majina ya viongozi humu kwa sababu za wivu na chuki zisizokwisha!
bwana mdogo tangu mchonga hadi mugwana wana mabibi wa nje hiyo ni sera ya serikali yako nyerere alikuwa mtu wa mabibi tu,unasikia na misifa kemukemu mnamwaga
haya mabo huwa hayana nafasi kwenye nchi zetu kila mtu ana boriti lake kwa hiyo tuachane an kibanzi cha masha.
Bishanga, inaonekana ushauri wako haukuzaa matunda kwa wahusika hawa wawili, haswa huyo wa kwanza!ushauri wa bure kwa ndugu yangu Lau😛olitical future yako ni angavu,you are smart and knowledgable,lakini wallah hili la wanawake kisiasa litakumaliza.nasikia kuna wakati unakaa level 8 kempinski uko mbwi na kufanya mambo ambayo hayastahili.wanaokusema humu si wote wanakuchukia,wengine wanakupenda na wangependa ufanikiwe.to start with achana na makundi ya Rose Garden yatakuharibia,tulia kama Ngeleja utafika mbali.
Ngeleja hakua ametulia, wewe humjui tu.... kama kipimo ni rose garden sawa, lakini kama ni kupora wake then huyo uliemtaja yuko juu ya lau:alien:ushauri wa bure kwa ndugu yangu Lau😛olitical future yako ni angavu,you are smart and knowledgable,lakini wallah hili la wanawake kisiasa litakumaliza.nasikia kuna wakati unakaa level 8 kempinski uko mbwi na kufanya mambo ambayo hayastahili.wanaokusema humu si wote wanakuchukia,wengine wanakupenda na wangependa ufanikiwe.to start with achana na makundi ya Rose Garden yatakuharibia,tulia kama Ngeleja utafika mbali.
Miriam Chingwile! Kweli usilolijua usiku wa kiza.
Bora hilo la kupanda juu ya MEZA Mwanza akiwa amechemka na Bia alitukanana na wapiga kura wake na kutoa Bastora akiwa King cassino na kutishia kumpiga mtu, sasa hii ndiyo nini kwa waziri kama yeye
Jamani kuwa mpenzi wa pembeni wa kumpooza siku moja moja siyo tatizo,pia ni mpenzi wake wa siku nyingi.
Mwacheni afanyekazi zake hela alikuwa nayo hata kabla ya kuwa waziri. Tusimwonee wivu. cha msingi anafanyakazi bila tatizo.
Mwanaume gani anaweza KUSIMAMA na kusema hajawahi kucheat hata siku moja either kwa mkewe au girlfriend wake?
Mfano mdogo sana: Fikiria unapopata girlfriend mpya kabla hujamwamcha uliyenae huwa hu-cheat???????????
just recently her mum was appointed/promoted to be a high court judge...wana mtoto na Kinje aitwae Junior....
ndo maana. . .
Mnaongelea uchakachuzi wa ndoa? Habari ya sabato?