Hakeem makamba
Senior Member
- Apr 15, 2011
- 123
- 41
Mkurugenzi wa Mtendaji wa zamani wa Benki ya NBC Bw.Lawrence Mafuru ameshinda kwa kura nyingi nafasi ya kuwa mjumbe huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB. Pamoja nae Waziri Mkuu mstaafu Bwana Fredrick Sumaye naye ametetea nafasi ya ujumbe wa bodi ys Benki hiyo. Source: Habari Mseto Blog
=================================
=================================
![]()
Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha. Mafuru alishinda nafasi aliyokuwa akiwania ya Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB.
![]()
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipewa karatasi za kupigia kura.
![]()
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB wakipewa karatasi za kupigia kura.
![]()
Kura kabla ya kuhesabiwa.
![]()
Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi hiyo, Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.
![]()
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja