Lawama za nini!!?

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,573
Reaction score
16,365
Good morning everybody!
Nyie madem sometimes lawama mnatafuta wenyewe, ona hii:-
Juzi niliwakuta madem wawili nikawapa lift na katika wale wawili mmoja alikaa seat ya mbele na mmoja nyuma. Frankly speaking huyu aliyekaa mbele alikua so beautiful and alini impress but nikaamua kukaa kimya. Baadae wamefika destination yao wakashuka nami nikaendelea na mishe zangu. Jioni dada mmoja akanitafuta akasema namba yangu kapewa na rafiki yake nikamuuliza kati ya wale wawili wewe ni yupi!!? akajibu ni yule aliyekaa seat ya mbele nikaona yes embe chini ya mkorosho. Bas tukachat then tukapanga apointment..... ile tumemeet nakuta alinidanganya sio yule aliyekaa seat ya mbele aisee nilimind kimoyomoyo badae nikaaga nikasepa. Badae anaanza kunilaumu mbona unanikaushia, hata salam hamna n.k... Aisee nyie madem saa zingine muwe mnaacha ujuha shenz type.
 
Ooh lift ya gari au bajaji maana ata bajaji matairi ma3 ina siti ya mbele[emoji485][emoji898]...any way pole sana[emoji4]
we jamaa bhanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahhaa kama nakuona na povuu asubuhi hii!!
Yeye mwenyewe kajiongeza afanye nini sasa!!
 
Hahaha ilinitokea siku moja kwa demu aliyejifanya amewrong number ..sauti matata
Siku niliyokutana nae nilitoka mbio
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mm siwakimbii ila naongea nao tu siku hyohyo..baada ya kuondoka tu eneo LA tukio nakaa kimya ,simtafuti tena
 
Utakua mwanaume wa dar wewe sio bure!!
Wanaume wa mikoani hatuachagi papuchi iliyojileta yenyewe!
Tomb.a usepe ebo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…